Loading...

Download
  • Genre:Hip Hop & Rap
  • Year of Release:2024

Lyrics

Bachela - Nay Wa Mitego

...

free nation

sisi ndo mabachela bachela

hatutaki ndoa mabachela bachela

tunakula ujana mabachela bachela

wache waoaneee

okayyy( chiib)

let's go

Mimi ni chizi Wa mapenzi na Nina upendo

ila kuhusu ndoa ndo Sina mpango

na ukipata nilie mwacha hauzibi pengo

unaoa lini hizo kelele za chura Kwa tembo

guysss listen to me napenda kuwa free

wengi wapo kwenye ndoa na hawatulii

nshasema ndoa nooo ata mnitangaze BBC

palipo furaha nipo kama moyo wangu una WiFi

bachelaa life ni confidence

maisha ni kuchagua

tumechagua happiness

happy healthy no ndoa no stress

vichwa vina mambo mengi

tuna refresh

mi na shemeji yenu daily tuna party

mambo ya ndoa wote hatutaki

purukushani unarudi saa ngapi

una chart na nani

ndo vitu hatutaki

bachelaaz michango tutachanga

kwenye harusi tutakuja

chakula tutakula na

pombe tutalewa

oaneni si Bado tupo

Si Bado tupoooo

eti wakina nani nyiee

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status