Cha kutumaini
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Cha kutumaini - Beatrice Mwaipaja
...
Chakutumaini sina ila damu yake Bwana
Sina wema wa Kutosha dhambi zangu kuziosha x2
Kwake Yesu na simama ndie mwamba n salam ndie mwamba ni salama ndie mwamba ni salama x2
Njia yangu iwe ndefu yeye hunipa wokovu
Mawimbi yakinipiga nguvu zake ndio nanga x2
Kwake Yesu na simama ndie mwamba n salam ndie mwamba ni salama ndie mwamba n salama x2
see lyrics >>Similar Songs
More from Beatrice Mwaipaja
Listen to Beatrice Mwaipaja Cha kutumaini MP3 song. Cha kutumaini song from album Tenzi za Rohoni is released in 2022. The duration of song is 00:04:14. The song is sung by Beatrice Mwaipaja.
Related Tags: Cha kutumaini, Cha kutumaini song, Cha kutumaini MP3 song, Cha kutumaini MP3, download Cha kutumaini song, Cha kutumaini song, Tenzi za Rohoni Cha kutumaini song, Cha kutumaini song by Beatrice Mwaipaja, Cha kutumaini song download, download Cha kutumaini MP3 song
Comments (14)
New Comments(14)
wambura Jr j22tb
sauti nzuri wimbo mzuri maalumu kwa wote wamtegemeao na kumutumaini Mungu
wambura Jr j22tb
hlw sofie ukoo poa
Risper Otienosongn
Always in love with Beatrice songs
alutt fabian
sauti nzuri wimbo mzuri maalumu kwa wote wamtegemeao na kumutumaini Mungu
Oliver Kazimoto
❤
Beatlice Kisanga
[0x1f605]
Happy juniortz
uzidi kubarikiwa[0x1f60e]
Gadiel Mwanga
wimbo mzuriii.... sauti nzuri [0x1f621]
Raphael Martinsovzy
sauti nzuri sana Beatrice
Sofia sofiiasofia14@gmail.com
Amen
goos