- Genre:Gospel
- Year of Release:2020
Lyrics
Fimbo - Heavenly Echoes Ministers
...
1.E nenda enda usighairiwe chuchumilia hadi uguse fimbo fimbo fimbo ya Mfalme ni yenye kuepuka ghadhabu aloweka kwetu chukua fimbo piga maji wanaisraeli wapate kuvuka chukua tena piga mwamba maji yatoke na wayanywe toka horebu wakapata fimbo inuka kama joka wa shaba tamaa nazo na simanzi zimejaa fanya hima.
chorus
fimbo fimbo fimbo yenye mamlaka iliwapa kibali wayahudi kuishi fimbo ni ya Musa kule jangwani nayo iliwapa kukaza mwendo Leo mamlaka ya Mungu yenye uzima bure kwetu jina lake tamwita Yehova Yehova nisi mwanzo tena mwisho jina lake yeye Mungu.
2.Jitahidi twende mbele zake Bwana sasa twanyenyekea kwa imani yeye ni mwingi wa rehema atajibu moambi yetu tulia tulia tuli mtazame Yesu usibanduke mahitaji yako yeye ayajibu kwa wakati mwema.
Similar Songs
More from Heavenly Echoes Ministers
Listen to Heavenly Echoes Ministers Fimbo MP3 song. Fimbo song from album Mashonde is released in 2020. The duration of song is 00:05:45. The song is sung by Heavenly Echoes Ministers.
Related Tags: Fimbo, Fimbo song, Fimbo MP3 song, Fimbo MP3, download Fimbo song, Fimbo song, Mashonde Fimbo song, Fimbo song by Heavenly Echoes Ministers, Fimbo song download, download Fimbo MP3 song