Loading...

Download
  • Genre:Hip Hop & Rap
  • Year of Release:2021

Lyrics

Sound Ya Bufa Ep 1 🅴 - Toxic Fuvu

...

yeah its toxic mwili mdogo ila sound ya bufa wote tulivozaliwa tulikatwa vitovu so nisije nikambiwa Kuna mrembo hana kovu wanaopata ukimwi sio kwamba hawajasoma shule shida kondomu inauzwa alafu ARV bure hata ngono inayotufanya tuzaliane ndo inatuuwa wazee wanafia guest kutwa murder case na ndo ubaya ukiwa na cash juwa utalea mtoto ambae hamfanani DNA test kama mimi sio mtoto wa Askari ila najua kushka mtutu nikiskia hela nachojua kutoa roho ya mtu zingua nikukokie mguu wa kuku mi sijuagi kurusha ngumi hayo Mambo ya mwakinyo na twaa kiduku bro bongo sio ulaya force love bite kwa mademu wa buza wakupige meno ka vempior dawa ya fire si fire so ata ili demu kumpata ukiwa na sura mbaya inabidi uwe na hela mbaya kweli jua limekuwa Kali mpaka Kuna wasanii kazi yao kujisifu wanajua ili tuwaite wakali na ndo ujinga wa pisi Kali kutupigaga mizinga Kama nyuki ila Cha ajaabu wagumu kutoa asali Mungu ndo ruzuku si wanyonge kinachokukondesha ndo chafanya niwe bonge Cha msingi usione donge ata piere kawa star kwa ulevi wakati Kuna wasanii tumewapoteza kwenye game kisa pombe ukijikuta mtata me mwenyewe ndo mwenda wazimu ukinizimia data me nakuzimia Simu unavimba kisa chart umefika main stream usijisahaurishe wasanii pia huhit kwa msimu mke mwema alikuwepo ile enzi ya kambarage siku hizi umebakia mchezo tu wa jaze nikujaze kuhusu ndoa msiwaze tunachezea wanaojua kubandika kucha tunaowa wanaojua kubandika maharage tabia yako isiendeshwe na utajiri tulia nikupe Siri busara ndo akili Hilo fikiri tuheshimu tukustill usidharau watu wakati unajua jeneza haliendeshwi na mataili hatupendwi na wote coz wapo wanaotaka utoke kimaisha na wapo wanaotaka maisha yakutoke ukiwa hai unajifunza hakuna anaye kufa na kurudi na ndomana hakuna sanda ya mtumba nikikupa hela haimanishi ni mzuri kupindukia wenda kwenye list ya mademu zangu unashika mkia hata uchafu una cost my dear unaweza ukala bure alafu ukaenda kunya kwenye Cha kulipia wanaonunua nguo mpya ni watoto wa oesterbay wajuba nguo ikituruka tunaishusha kata kei amini kuwa unavuna unachopanda mjamzito hula udongo na ndomana huwa anazaa mtoto mchanga written by araphat/The African Giant contact 0714812939

Listen to Toxic Fuvu Sound Ya Bufa Ep 1 MP3 song. Sound Ya Bufa Ep 1 song from album Sound Ya Bufa Ep 1 is released in 2021. The duration of song is 00:02:21. The song is sung by Toxic Fuvu.

Related Tags: Sound Ya Bufa Ep 1, Sound Ya Bufa Ep 1 song, Sound Ya Bufa Ep 1 MP3 song, Sound Ya Bufa Ep 1 MP3, download Sound Ya Bufa Ep 1 song, Sound Ya Bufa Ep 1 song, Sound Ya Bufa Ep 1 Sound Ya Bufa Ep 1 song, Sound Ya Bufa Ep 1 song by Toxic Fuvu, Sound Ya Bufa Ep 1 song download, download Sound Ya Bufa Ep 1 MP3 song

Comments (16)

0/500

    New Comments16

    Robert 5wjj6

    If you have zenith Bank account that can take up to 50,000,000 naira you drop for Online cheque deposit .. I have a direct zenith log tools now Please and please the account needed is account that has a good transaction history account that have run transaction of millions for the past month I'm ready for job 2/4/7 Don't give me small children zenith Bank account.. don't give me new account within 5 hours time the job is done +2347036681271

    Nigeria

    august_kid

    qaleee

    Tanzania

    Jeromekiknb

    fire[0x1f63f]

    Tanzania

    Michael steven0gkh8

    Noma sanaa toxic iyo kweli sound ya bufa

    Tanzania

    Davidson Daudy

    kalii sanaaaa we need ep2

    Tanzania

    Joh Khan

    Daaah unaweza kula bure alaf ukaend kujisaidia kweny choo cha kulipia

    Tanzania

    Spot Killer tz

    gonga like km unamkubali huyu mwamb

    Tanzania

    Hassani Omarynb7lr

    nomaaaa sanaaaaàaaaaa

    Tanzania

    Lil E-pac

    [0x1f630][0x1f63f]

    Tanzania

    vicef1tyh

    we nimaaaaaa[0x1f60e][0x1f60e][0x1f60e][0x1f60e][0x1f60e][0x1f60e][0x1f60e]

    Tanzania

    binshaaliy

    it's my favorite song

    Tanzania

    Ahmad king c4mi8

    Imekaaa vzr sanaa kakaka nakubali snaaa

    Tanzania

    +

        -   or   -

        -   or   -

        NG +234

            Please Select A Playlist

            Add New Playlist

            Share on

            Embed: Love & Light EP

            Custom Size :

            • Default
            • Desktop(300*600)
            • Mobile(300*250)

            Type :

            • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
            Get Boomplay Premium
            for
            Payment Method
            Pay With
              Review and pay
              Order Date
              Payment Method
              Due Today
              Flutterwave
                Subscription Successful

                Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

                Now you have access to all the features of Boomplay App.
                Payment Failed

                Please check your balance and then try again.

                You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
                Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
                Payment Processing...
                10 s

                Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

                Payment Processing
                Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
                About Order Status