
Kwa Ajili Yako
- Genre:Pop
- Year of Release:2021
Lyrics
Kwa Ajili Yako - Hussein Machozi
...
Najua hiki ndo kipindi ukipendachoo,najua sasa hivi uko karibu na redio ,labda peke yako au na rafiki zakoo,naomba kidogo ongeza Sauti ya radio,nachukua nafasi kuongea nawe kwa Wimbo ,uuuh,,nmetunga special kwa ajili yako mrembo,uuuh,ntangazaje kati ya Wimbo usiweke jingo,ooh,mh nmetunga rasmi kwa mtu aliye single ,ooh,kwa ajili yako naimba,sauti hii sikia,habari hii pokea ,zingatia mrembo usiku wote mrembo,zingatia mrembo usiku wote mrembo,zingatia,aaah,zingatiaa a mmh,,ndani ya roho yangu uko pekee yako,oo usihofu mami akuna mwenzako ,nimezaliwa mimi kwa ajili yako,na hivi sitatupa penzi lako nmekupa nafasi kuwa kwa ndani ya moyo,mwenzetu niite baba ya watoto wako,uuh.,kipingamizi h akuna juu yako..uuuh,, come closer nipunguzie mapigo ya moyo,.kwa ajili yako naimba,,sauti hii sikia habari hii pokea ,zingatia mrembo usipuuze mrembo,zingatia mrembo usipuuze mrembo zingatiaa,aah,moyo wangu natamani,sana mimi kuwa na wewe,Acha niseme hadharani,kila mtu asikie,moyo wangu natamani sana mimi kuwa na wewe,Acha niseme hadharani,kila mtu asikie,asali ni tamu baiby,kwa anaye fahamu,ila ni chungu sana,kwa asiye fahamu,songea karibu yangu,uuu,tulia kabisa lala kifuani kwangu,sinzia kabisa,kwa ajili yako naimba,sauti hii sikia ,habari hii pokea,zingatia mrembo,usipuuze mrembo,zingatia mrembo,usipuuze mrembo,zingatiaa,aah,zingatia,(wwe zingatia aah ahhh zingatia aah zingatia,wewe zingatia,ooh zingatia)
Similar Songs
More from Hussein Machozi
Listen to Hussein Machozi Kwa Ajili Yako MP3 song. Kwa Ajili Yako song from album BEST HITS SONGS OF HM is released in 2021. The duration of song is 00:04:35. The song is sung by Hussein Machozi.
Related Tags: Kwa Ajili Yako, Kwa Ajili Yako song, Kwa Ajili Yako MP3 song, Kwa Ajili Yako MP3, download Kwa Ajili Yako song, Kwa Ajili Yako song, BEST HITS SONGS OF HM Kwa Ajili Yako song, Kwa Ajili Yako song by Hussein Machozi, Kwa Ajili Yako song download, download Kwa Ajili Yako MP3 song
Comments (32)
Top Comments (1)
Pauline karimiek7zk
New Comments(32)
benmuiruri
Love is honey to those who are familiar. bongo
156576465
very nice
digaa starlin
nice
fredrick otienollav1
this song really takes me along way with the past
Fabian Beatus
05/01/2023
Raulg8iso
Those were the days when love song was indeed true love song
150612221
if am not mistaken it was 2010 the hit song
ngatelemusic
nzuri atari
Omarya41do
@Omary41do:
Omarya41do
wimbo huu unanikumbusha mbali nakumbuka nilivyo kuwa napendwa na badae nikasalitiwa
habibaty0od
wimbo unanikumbusha mbali mnoo,2009 i was 12 ..mpenz wangu wa kwanza jamn alikua akipenda kuuimba...wallah ile moment nataman irudiee
neemaytf3j
those days
hallo kwa ajili yako naimba, sauti hii sikia , those were the golden days when music dedication used to nake you smile hah