- Genre:Pop
- Year of Release:2021
Lyrics
Mizimu - Hussein Machozi
...
Babu kaniita kijijini manyoni hali yake babu I taabani ikabidi niombe ruksa kazini ili nifaidi ata maneno ya mwishoni Nilipofika babu kanambia mjukuu wangu Kati ya wanangu nimekuchagua wewe uwe mrithi wangu mizimu yangu na uganga wangu nnakupa wewe uwebadili yangu pia nnakusihi utapokataa mizimuu haitakuacha pia nnakusihi utapokataa mizimu yangu haitakuacha
Similar Songs
More from Hussein Machozi
Listen to Hussein Machozi Mizimu MP3 song. Mizimu song from album BEST HITS SONGS OF HM is released in 2021. The duration of song is 00:04:21. The song is sung by Hussein Machozi.
Related Tags: Mizimu, Mizimu song, Mizimu MP3 song, Mizimu MP3, download Mizimu song, Mizimu song, BEST HITS SONGS OF HM Mizimu song, Mizimu song by Hussein Machozi, Mizimu song download, download Mizimu MP3 song
Comments (1)
New Comments(1)
Dominic Alex13u6c
best song