- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
Bonanza - Conboi Cannabino
...
Nafunga macho nikijaribu hata ku-meditate
So hard nahitaji lazima ni-concentrate
Niliyopitia hayajanifundisha mi ku-hesitate
Siwezi laza mguu chini kama home hapako fresh
Yes! Sometimes lazima u-force ndio utusue
And thats the way you learn how you've got to do it
Kuna wakati unaweza hata kuwa insane
Maana hakuna wa ku-blame its a shame bora tuu uuchubue
Smoking them doobie tunahitaji hata ku-get away
Tukiwa maskani tuna imani we gonna find a way
see lyrics >>Similar Songs
More from Conboi Cannabino
Listen to Conboi Cannabino Bonanza MP3 song. Bonanza song from album Bonanza is released in 2021. The duration of song is 00:02:36. The song is sung by Conboi Cannabino.
Related Tags: Bonanza, Bonanza song, Bonanza MP3 song, Bonanza MP3, download Bonanza song, Bonanza song, Bonanza Bonanza song, Bonanza song by Conboi Cannabino, Bonanza song download, download Bonanza MP3 song
Comments (29)
Top Comments (1)
Epton Michael
New Comments(29)
jon joo
binnho[0x1f652][0x1f652]
Mahila9bidq
you gganna rearn to fly bila mbawa
Yusuph yohana71424
ukiwa mzembe ndo unaweza ukapagawa[0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f]
Kajetan Mushi
ukiwa mzembe ndio unaweza pagawa
coopery3rth
ulkuw n mpang
Tz sihamiiiiiiiiiiiii[0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f]
kingb6_
hali yangu ya maisha naijui mwenyewe hapahapa nina dem anakaribia kuza
fredrick chrispin
Tishaaa[0x1f63f][0x1f63f][0x1f63b]
132208773
Aixee bonge la ngoma nigger.
Raymond hz3xh
dont be shy girl go banaza
phentz
[0x1f60b][0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f]
746232082
daaa aiseee Conboiii hatariiii sana. Flow za kibabe sana
Chegarito Fx
[0x1f60d][0x1f60d][0x1f60d][0x1f60d]
nileteeni marapa wenu wote hapa ....halafu nakuletea huyu jamaaa ..... he is monster for this generation huyu jamaaa fundi sana .... anajua mziki sio kidogo ni mziki haswaaaaa..... namuita king of new generation