- Genre:Pop
- Year of Release:2020
Lyrics
Tena - Baba Levo
...
mungu mwenye barakanakushukulu kwa hizi naimba ninavyo taka fungus njia niweze vuka mipaka nyota izidi kuwa
Similar Songs
More from Baba Levo
Listen to Baba Levo Tena MP3 song. Tena song from album Tena is released in 2020. The duration of song is 00:03:18. The song is sung by Baba Levo.
Related Tags: Tena, Tena song, Tena MP3 song, Tena MP3, download Tena song, Tena song, Tena Tena song, Tena song by Baba Levo, Tena song download, download Tena MP3 song
Comments (9)
New Comments(9)
D-Man /B-Free
D-Man /B-Free
T-Touch
Chudo boy
kaliii sana
starlight pk b
mutaka nini tena
starlight pk b
hahahahaha hatari huyu jamaaa
Eliudi Kituma
Mmeichokaza mizuka Nimechafukwa na kinanuka Hata mvua inyeshe wameyatimba Vumbi itaruka Wajanja wanasanuka Wahamba kinawashuka Na hii haina kufeli Songa karibu Nikupe ukweli Nishapiga makila ngoma Ma midundiko mpaka singeli Ila mambo tu yamegoma Au wadau ni matapeli Wanaopewaga nafasi Kijiwe nongwa tu hamna keli Tunaonyimwaga nafasi Sio madarasa ni majokeri Kigoma mwisho wa reli Mlicho kifanya mtafeli Asante kwa mashabiki Wanaonipa kila la kheri Pole kwa wanafki Wanaosifu kwa kukejeri Muda ndo umefika Tutapambana pambana Wanaotangaza vita Mi ndo kidume nani mwingine Wachena vikwazo napita Mi ndo kidume nani mwingine. Hauwezi kuniongopea Siishi kwa mazoea Nataka nipewe darasa La kuwafunza na kukemea Watu niwape hamasa Za kuwatunza na kuzomea Kisha nifanye siasa Wenye kuimba nikigombea Hahahaa Eeh bhana T Nitawanyoosha hawa
Eliudi Kituma
Mnataka tena (Haii) Mnataka nini (Haii haii) Mnataka tena (Haii) Mnataka nini (Haii haii) Mnataka tena (Haii) Mnataka nini (Haii haii) Mnataka tena (Haii) Mnataka nini (Haii haii) Mnataka tena (Haii) Mnataka nini (Haii haii) Mnataka tena (Haii) Mnataka nini (Haii haii) Mnataka tena (Haii) Mnataka nini (Haii haii) Mnataka tena (Haii) Mnataka nini (Haii haii)
Eliudi Kituma
Take five now Yo Yo Mungu mwenye baraka Nakushukuru kwa hizi baraka Naimba ninavyotaka Fungua njia nivuke mipaka Nyoka zidi kuwaka Nipate nitoe sadaka Waonyeshe binadamu Bila wewe ni takataka Niliwapa hi hello Wakasema nimeongea Ewe jini wakajifariji Ndege kawaonea Baba Levo kalikamata Jiji sasa wanaongea Wamekubali tuko levo siti Ngoma inapepea Mi ni mtata Ndo maana nawatatiza Wanashanga kilema nawakimbiza Hawanitaki ila nishang’ang’ aniza Na siwaachi nazidi kukandaniza Majemedali wamekubali Kwamba mi ni soo Nitafika mbali nizidishe flow Hawanati tena wanajiona choo Samatta samatta amefunga go gooo.
Jasmina5xka
Kali
Kali daaah