Mbali Nawe
- Genre:Pop
- Year of Release:2024
Lyrics
Mbali Nawe - pittyBoy
...
Masikini Mimi mwenzako Mimi natumia sana
Japo nishajua Mimi kuwa sawa na wewe haitawezekana
Hata nikishuka chini ndo unaniona mih mjinga sana
Eti umepatwa Nini mbona hapo mwanzo ulitulia aah
Na Wala sio mbali sio mbali tulikua karibu na malengo
Na Leo kiu Tani kama utani umeshidwa kuumaliza mwendo
Na Tena haujali haujali ukiondoka utaacha pengo
Hakuna Cha habari nikae mbali huku kuachwa bila maelezo.
Mbali nawe. Mbali nawe
Mbali nawe mbali nawe
see lyrics >>Similar Songs
More from pittyBoy
Listen to pittyBoy Mbali Nawe MP3 song. Mbali Nawe song from album Triple 3 is released in 2024. The duration of song is 00:03:55. The song is sung by pittyBoy.
Related Tags: Mbali Nawe, Mbali Nawe song, Mbali Nawe MP3 song, Mbali Nawe MP3, download Mbali Nawe song, Mbali Nawe song, Triple 3 Mbali Nawe song, Mbali Nawe song by pittyBoy, Mbali Nawe song download, download Mbali Nawe MP3 song