Bado Nahema ft. Mathias Walichupa
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Bado Nahema ft. Mathias Walichupa - Vedastus
...
ayeiyeiyeiye ( beats) ooh yeiye nimejifunza Somo kwamba wewe bwana wautambua mwisho kabla ya mwanzoo we ni mchakato wako kumtoa mwana kutoka mavumbini kumketisha na wakuu haukuruhusu machozi yanitokee yanitokee Bure hukuruhusu huzuni idumu ili niumiee haukuruhusu mapitoo (laaalalalalalalala)yanikaribishe umenipa mwisho baba wenye ushuhudaa
Nashindwa jinsi namna kusema nashukuuru Bado nahema sikustahili umenitendea mema nashukuuru Kwa Yako mema ,,,
hivi nimekupa kitu gani baba (laaalalalalalalala) naishi Leo ni neema Yako tu (laaalalalalalalala) maana SI ujanja Wala akili zangu (laaalalalalalalala) Asante baba pokea sifa (laaalalalalalalala )oiyeiyeiye oiyeiye
Shukrani zatiririka ndani ya moyo napotazama haya ulionitendea ambayo Kwa akili za kibinadamu Mimi singewezaa .This kind of blessing have never seen before
nakushukuru (hukuniacha bwana ×2) umenipigania mwanaooo tena nashukuuru (hukuniacha bwana ×2) umenivusha na mengi mwanaooo
nashindwa jinsi namna ya kusema nashukuuru Bado nahema sikustahili umenitendea mema nashukuuru Kwa Yako mema , kweli hakuna kama wewe (laaalalalalalalala) maana matendo Yako ya ajabuuu (laaalalalalalalala)eeh hayaelezeki (laaalalalalalalala) Asante bwanaa (laaalalalalalalala) Asante (oh lalalalaah yeiy oh yeiy oh yeiy oh yeiy)
Similar Songs
More from Vedastus
Listen to Vedastus Bado Nahema ft. Mathias Walichupa MP3 song. Bado Nahema ft. Mathias Walichupa song from album Bado Nahema is released in 2023. The duration of song is 00:03:46. The song is sung by Vedastus.
Related Tags: Bado Nahema ft. Mathias Walichupa, Bado Nahema ft. Mathias Walichupa song, Bado Nahema ft. Mathias Walichupa MP3 song, Bado Nahema ft. Mathias Walichupa MP3, download Bado Nahema ft. Mathias Walichupa song, Bado Nahema ft. Mathias Walichupa song, Bado Nahema Bado Nahema ft. Mathias Walichupa song, Bado Nahema ft. Mathias Walichupa song by Vedastus, Bado Nahema ft. Mathias Walichupa song download, download Bado Nahema ft. Mathias Walichupa MP3 song
Comments (32)
New Comments(32)
ramamwagilo12
Geofrey Mbagajxyyi
@Official Mayele:Hello
ya9yoxc
OMG this song is touching
Official Mayele
Nice song with motivation in everything and remembering our blessings from God. your have my blessings God be with you..
103398519
super
Rheal Don DaDa
from God does not chose neither bargain ..hatujastaili kwa wake upendo Yuatupenda bure.
174050952
+234 708 512 3453 Zenith bank and Ecobank with Kudabank account *Note* It's called card loading mature minds please!! .... WhatsApp me if you have it........ +234 708 512 3453
174047305
nyimbo nzur mno
Colya11
Maisha ni Safari na Muziki ni Faraja ya kila mwanadamu, Unaposikiliza nyimbo kama hizi unasafiri kwa hisia basi unabaki kusema NASHUKURU BADO NAHEMA.
Josphine Wanjiruo6jf9
sweet be blessed
172568408
v vvv$__⁴__€@[0x1f616][0x1f637][0x1f634][0x1f634]
mjopajr
perfect broo
nice