Hakuna Cha Kunitoa Kwa Yesu
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Hakuna Cha Kunitoa Kwa Yesu - Nancy Hebron
...
mmmh. hallelujah aaah
mmmh....
chorus
hakuna cha kunitoa kwa Yesu milele2
sitamsaliti Yesu daima Niko nae2
hakuna cha kunitoa kwa Yesu mileleee
nikipewa pesa(hapana)marafiki wazazi(hapanaa)ni mime ndugu(hapanaa)hata wafalme wa dunia(hapanaa)hata wanitenge(hapanaa)wanidharau(hapanaa)wanicheke wanibeze( hapanaa) sitamsaliti Yesuu daima
chorus
......
watu wengi walimpokea Yesu lakini wakamsaliti sababu ya mambo kama hayo umaarufu pesa na mengineyo imeandikwa ukinisaliti mbele za watuuu na mimi nitakusaliti mbeleee za Baba wa mbinguniii
see lyrics >>Similar Songs
More from Nancy Hebron
Listen to Nancy Hebron Hakuna Cha Kunitoa Kwa Yesu MP3 song. Hakuna Cha Kunitoa Kwa Yesu song from album Taa Ya Miguu Yangu is released in 2017. The duration of song is 00:03:47. The song is sung by Nancy Hebron.
Related Tags: Hakuna Cha Kunitoa Kwa Yesu, Hakuna Cha Kunitoa Kwa Yesu song, Hakuna Cha Kunitoa Kwa Yesu MP3 song, Hakuna Cha Kunitoa Kwa Yesu MP3, download Hakuna Cha Kunitoa Kwa Yesu song, Hakuna Cha Kunitoa Kwa Yesu song, Taa Ya Miguu Yangu Hakuna Cha Kunitoa Kwa Yesu song, Hakuna Cha Kunitoa Kwa Yesu song by Nancy Hebron, Hakuna Cha Kunitoa Kwa Yesu song download, download Hakuna Cha Kunitoa Kwa Yesu MP3 song
Comments (6)
New Comments(6)
omary jumacis4s
Nice music
100076089
Ustoke upo good
Karem Konu Komu
hakika usitoke my upo vizuri sn
kakopas
god bless you
Hellen Mkumbwa
Nice music
nakusalim ndugu mpendwa kwa jina la yesu