Loading...

Download
  • Genre:Gospel
  • Year of Release:2023

Lyrics

Kioo - Lamiriam School Mass Choir

...

Dibwili liliheshimika zamani kina mama walilizunguka walishinda hapo wakijikwatua bila dimbwi sijui ingekuwaje siku hizi kioo kilamahali vidogo vikubwa chooni vilivyosimama bafuni side mirror hata kwenye pochi ni selfie popote ya kwanza

Kioo ni rafiki wa kijana lakini kioo si rafiki kwa wazee kioo ni rafiki wa mwembamba lakini kioo si rafik wa mwenye kitambi kwanini kioo kiwe hivi sababu kinaseema kweli hakidanganyi hakitanii kioo ni sheria ya Mungu

(Kioo*3 kioo*3 kinatuonesha uchafu uliyoko usoni mwetu hakina uwezo wa kutusafisha hakina uwezo wa kutuokoa na sheria ya Mungu ni hivyohivyo yatuonesha makosa haitufichi makosa ya kuabudu miungu na kuvunja sabato kioo cha Mungu ni kitakatifu alivyo)*2

Tukiitii sheria ya Mungu(inatulinda)

Tukiitunza sheria ya Mungu( faida kwetu)

Sheria ya Mungu haibadiliki takatifu kiasi Mungu kuifia

Sheriaya Mungu haipunguzwi(hata nukta)

Pia ni makosa kuigawanya (kweli)

Si busara kuidonyoadonyoa

Ole wake asemae ilifutwa

see lyrics >>

Listen to Lamiriam School Mass Choir Kioo MP3 song. Kioo song from album Call On Jesus is released in 2023. The duration of song is 00:05:55. The song is sung by Lamiriam School Mass Choir.

Related Tags: Kioo, Kioo song, Kioo MP3 song, Kioo MP3, download Kioo song, Kioo song, Call On Jesus Kioo song, Kioo song by Lamiriam School Mass Choir, Kioo song download, download Kioo MP3 song

Comments (0)

0/500

    New Comments0

    What do you think of this song?

    +

        -   or   -

        -   or   -

        NG +234

            Please Select A Playlist

            Add New Playlist

            Share on

            Embed: Love & Light EP

            Custom Size :

            • Default
            • Desktop(300*600)
            • Mobile(300*250)

            Type :

            • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
            Get Boomplay Premium
            for
            Payment Method
            Pay With
              Review and pay
              Order Date
              Payment Method
              Due Today
              Flutterwave
                Subscription Successful

                Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

                Now you have access to all the features of Boomplay App.
                Payment Failed

                Please check your balance and then try again.

                You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
                Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
                Payment Processing...
                10 s

                Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

                Payment Processing
                Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
                About Order Status