Naomba Tuongee
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Naomba Tuongee - Bando MC
...
Nishakutafuta kila corner ya dunia,nishakuulizia kila corner kila njia
Una ishi wapii!!?wewe unaishi waapii!!?
Ningejua nyumbani kwako mbona ningeweza kutimbia,ningepata namba yako mbona ningesha kupigia
Unaishi waapii!!?…unaishi waapii!!?
Kama una muda tuongee
“Haiyeee haiyeee haiyeehee….lini unamuda tuongee?….haiyeee haiyeee haiyeehee plz naomba tuongee eeehmm
…………….. ……………. ………………. …………………..
“Shy town boy”….ni muda sasa nimezunguka kutafuta namba yako,nimeulizia kwa watu wanionyeshe ata ndugu zako ila nilichobahatika kuonyeshwa tu nyumba zako nakuta watumishi wako nikiwauliza juu ya mambo yako wanahisi nawakejeri ,kama ata una account ya insta nipe jina bwana maana namaongezi na wewe ya kina sanaa.wengne wanasema pengine nikucheki kupitia maombi,nishakuomba huu mwaka wa 10 na upo kimya sana
Au pengne me nina dhambi kuliko wengne hutaki ulipo weka kambi nifike pengine?afu watu wanaposema kuwa mungu sio athuman huyo athuman ni nani?,nimjue pengine.,pengine anaweza akaniambia kwanini?.,kwanini kama mungu mmoja unaubaguzi wa dini,kwanini usiweke dini moja na hoja ingekua ni moja nadhani hata kila mmoja ingemuingia akilini kwanini?.,kuishi haturidhiki ata cjui kwanini.,kwanini watu wanafariki ndo waloshika dini, na kama wewe unaishi juu na tukifa tunakuja huko mbinguni sa kwanini tunazikwa chini.,kwanini?,unachukua wanyonge na unawaacha magaidi na kwenye kesi zao wanasema mungu ndo shahidi,binadamu wengi tunapenda utupende ila kuna binadamu anaependa umpende zaiidi….
Kwenye kifo cha A.K.A kipo ulini teach niji defend sa vipi kifo cha costa tich.
see lyrics >>Similar Songs
More from Bando MC
Listen to Bando MC Naomba Tuongee MP3 song. Naomba Tuongee song from album Naomba Tuongee is released in 2023. The duration of song is 00:05:08. The song is sung by Bando MC.
Related Tags: Naomba Tuongee, Naomba Tuongee song, Naomba Tuongee MP3 song, Naomba Tuongee MP3, download Naomba Tuongee song, Naomba Tuongee song, Naomba Tuongee Naomba Tuongee song, Naomba Tuongee song by Bando MC, Naomba Tuongee song download, download Naomba Tuongee MP3 song
Comments (17)
Top Comments (1)
kiibinda
New Comments(17)
Angelus Wellabrsyk
hatar
Benjamin mzinga
my always favorite song in this world ♥️♥️♥️
169501399
oyyyya weee me nakukubali sana
Baraka Mabura
mara zote napenda sana kuusikiza wimbo huuu
barakaqth25
goma kali la hip hop kwa mwaka huu na champion mmetisha sana
joseph charles18sq9
Unajua broh[0x1f60e]
Ommy Guizer
hii ndio ngoma yangu pendwa ya hip hop 2023 the best song i like it [0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f] BANDO MC [0x1f60d][0x1f60d]
singogosamuel3
mmmh
Bonface mdamu
Yaani kaka unezingua vibaya
siahevszs
unajua mwamba unajua
Reuben jackson
khaliii kinoma... naomba tuonger on fire
Ramadhan Salum1aoqg
aloo una jua kaka @bando mc [0x1f627][0x1f621]
oyaaaa eeeee. oya eeee. kuna watu wanatungo, wana-idea, wanajua ku-flow, wanajua kuimba. jamani kama umekubali hii idea nipe like aisee>