Dear ex
- Genre:Others
- Year of Release:2023
Lyrics
Dear ex - Dee tz
...
.. . yeah ... mmmhh mmh Natamani Ata nikutumie Salam moyo unasita Kwa uwogaaah Kwa maneno machafu me nawaza nitumie japo barua, naogopa hutoipikea ukisoma jina langu. Dunia Ina mwisho kuna Leo na kesho wenda nilikuuzi vibaya usininyime msamaha na najua mabaya yapo nilikukosea ila na memo nayo nilikufanyiaah ooooh mama shida nitume text kuna muda unajibu kuna muda unanichambah, na sio kwamba me siumiii, na sio Kam natak urudiiih dear ex nilikuita majina mwisho nilikuita danga nimekosa na aminii nimekuhuzi kweli kweli kweli .. huuuuuuhuuuuuhhhuuuuuuuuuujj.. nisamehe nisamehee makosa yangu huhuhuhubuhuh huhuhuhuhuhuhuhuhu am sorry am sorry baby Nasema umepata wako huyo ndo anayekufa na anayeku care kwangu umepotea njia huwez Ata nifikiria na koma status zako maneno ya watu nayo yanaumbah pia utaki Ata nifikiria yaaan ni Bora nitoke hata kweny hii Dunia Wala sijakwaza ila naimani tusije kuchukiana tushindwe hat kuzikana na nadhirirsha na madhaifu yangu Mimi matusi kunitukan visa visa na maana....... shida nitume text kuna muda unajibu kuna muda unanichambah, na sio kwamba me siumiii, na sio Kam natak urudiiih dear ex nilikuita majina mwisho nilikuita danga nimekosa na aminii nimekuhuzi kweli kweli kweli. .. huuuuuuhuuuuuhhhuuuuuuuuuujj.. nisamehe nisamehee makosa yangu huhuhuhubuhuh huhuhuhuhuhuhuhuhu am sorry am sorry baby.... sijakwaza ila naimani tusije kuchukiana tushindwe hat kuzikana na nadhirirsha na madhaifu yangu Mimi matusi kunitukan visa visa na maana.......
Similar Songs
More from Dee tz
Listen to Dee tz Dear ex MP3 song. Dear ex song from album Dear ex is released in 2023. The duration of song is 00:03:52. The song is sung by Dee tz.
Related Tags: Dear ex, Dear ex song, Dear ex MP3 song, Dear ex MP3, download Dear ex song, Dear ex song, Dear ex Dear ex song, Dear ex song by Dee tz, Dear ex song download, download Dear ex MP3 song
Comments (1)
New Comments(1)
alvinofficiall
[0x1f641][0x1f641][0x1f641]1baada ya kumsifia sana kwenye napendwa saiv kaka ume decide kumkumbuka ex