
Angekuona
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2017
Lyrics
Angekuona - Aslay
...
Verse 1
Yani raha hata tukilala na njaa
Kila saa nakuona mpya mamy
Tena raha huku ninavimba kitaa
Unang’aa hata kwenye giza mamy
Basi tulia eeh kama maji kwenye mtungi baby
Nitakulea eeh ili mradi unipe heshimaa
Kama mboleaa eh nitatia ili unawili sana
nimekuzoea eeh ukiniacha itaniuma sana
Chorus
see lyrics >>Similar Songs
More from Aslay
Listen to Aslay Angekuona MP3 song. Angekuona song from album Angekuona is released in 2017. The duration of song is 00:03:46. The song is sung by Aslay.
Related Tags: Angekuona, Angekuona song, Angekuona MP3 song, Angekuona MP3, download Angekuona song, Angekuona song, Angekuona Angekuona song, Angekuona song by Aslay, Angekuona song download, download Angekuona MP3 song
Comments (61)
Top Comments (1)
Paulina Mchekea
New Comments(61)
kellyt5g2q
I luv the song asly
Elizabethgp4qd
[0x1f629][0x1f629][0x1f629]
Robert 5wjj6
If you have zenith Bank account that can take up to 50,000,000 naira you drop for Online cheque deposit .. I have a direct zenith log tools now Please and please the account needed is account that has a good transaction history account that have run transaction of millions for the past month I'm ready for job 2/4/7 Don't give me small children zenith Bank account.. don't give me new account within 5 hours time the job is done +2347036681271
Ibrahimnuru
Huyu jamaa kaniliza kwaajili ya wimbo wake hu wa mama,kanikumbusha mbali sana
biteqeu
sure huwezi amini aslay kapotea sijui yuko wap leo nipo boom play nasikiliza Playlist zangu nikakukumbuka daah hii n best hit song big up bro
Nassra Suleiman3kxc5
Ilove mum ❤ now and forever because need for my life mum [0x1f641][0x1f618]
Fednandi kisinda
aslay umepotelea wap nimezimiss song zako
yohana andrea3njd1
Amazing
Gody_boy
MaKn [0x1f63b][0x1f63b]
saimonih66fg
yuko vizuli sana
Joyce Malindo
nakupenda sana huu wimbo
tatianag89gj
il chante tres bien, courage aslay
its good