KANAIRO
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
KANAIRO - Mnaty Official
...
KANAIRO. . Machupa kwa meza , now you know Mangeus kuchacisha ni 4 by 4 Itisha hapo waiter ginno Kwa bez ni mashisha , kwa corner mabong Na ni saa ngapi nakata my bro Madoo zinamwagika wakadai wanagoo Kuna dem anakatika hii fom ,na bado hakuna nigaa anadai kua involved. Si nakam tu na madrinks ama? Floor nacheki madem washainama Tiktok leo ni vuli nkishaimanga On top , bash naifanya ka ya wanga Juu ni celebration boo Kam si tudance unioneshe vile unaduu Tuanze odi dance alafu joh ushike miguu Ameninoki kwanza sa leo mi ndio najiduu Man 2 do ilee kitu mi nafaa niduu We gon party Leta sensi alafu ulete nare Nimemedi naulizwa maswali Dem amenidedi , na mi siwezi jali Birthday queen , leo ni siku yako baby lazima watii Sinaa manjeka lakini nishapata key Confirm buda mi ndio badman adii Nikishika mic nakurogea ka mp3. . Mi huwa napewa na diva kutu mingi mi sikatai Nadondoka nako ka ni mingi ndio mi nadai Ju kidale napigwa nataka tu madhambi zake Mi huzega yote ka ni lawama napiga kwake Aah doba ni ngorii na si uanze kukatika Si uanze kukapanda na si uanze kukashika. Nangwenye nare na pori zote niko madoo Nashuku ni pombe ndio inataka tu kuniboo Sa mi hushika high grade ndio nifike niburn Kejani ni ma high red na makoki za gun Ukidhani niko maziwa kumbe nakula kibombe Kameniweka tight kanataka tubonge Niko keg niko maji niko keroroo Niko stage sina ganji doo mi nimeborrow
Similar Songs
More from Mnaty Official
Listen to Mnaty Official KANAIRO MP3 song. KANAIRO song from album 3560 is released in 2023. The duration of song is 00:03:10. The song is sung by Mnaty Official.
Related Tags: KANAIRO, KANAIRO song, KANAIRO MP3 song, KANAIRO MP3, download KANAIRO song, KANAIRO song, 3560 KANAIRO song, KANAIRO song by Mnaty Official, KANAIRO song download, download KANAIRO MP3 song