Ukoo Wetu
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Ukoo Wetu - Toxic Fuvu
...
toxicfuvu *UKOO WETU VERSE* Nimetokea Ukoo Hauna Hela Ata Ukipata kesi Fine Laki 1 Ama Kifungo Unafia Jela Hata Umalize chuo Kupata kazi kasheshe.... Unandugu wa Kukupa Masimango sio Wa kukupa Connection.... ndomana Naitafuta sana Hela Naamka Mapema... usione nnahaso na Kusali me huwa siombewi Mema.... Nimetokea Ukoo Ndugu wanachongoja we Ufeli tu ili waongee kikowapi Si Tulisema... Ukileta Mambo ya Elimu wanakuona Mzushi... Hauna wasomi ukifaulu hakuna anayekupush... ukiomba Ada Uchangiwe Hata centano Hugusi... Ila Ndo Ukoo Unaoongoza Kwa Michango Ya Harusi... kwanza ndugu kutembeleana ni Mtiti... Na ikitokea kuna namna ambayo Hata sifichi... sio kwasabu ya Upendo ama vipi... anakuja kutazama aone kitu gani kipya unachomiriki.... Ndugu hasapot hata kama anauwezo Ndio... Mana anajua itamuuma Akikuona umemzidi Mbio... Ukoo wetu Unajina La Babu wa Miaka hiyo... Wengi Tunashare Hilo Jina Ila Hatushare mafanikio... wengi wanaamini Mganga wachache wanaamini Mungu... Hata Ukiugua Mafua Wanahisi umetupiwa Mdudu... Chuki imeekewa Nguvu.... Ndo Ukoo Ulonifunza vibaya Nimuone Rafiki Bora kuliko Ndugu.... Unandugu wanakumbushia sana Ya kale.... Hata Misaada yao Ya Kupokea Kwa machale.... Hata Kama Alikusaidia nauli Ukitoboa Anasema Bila ya Mimi asingefika Pale... unavumilia ya Huyu Yule anahaya... Unafki Mwingi Hadi nahisi am tired... Huenda jina La Ukoo Huwakilisha Tabia za Watu Waliondani Yake na Ndomaana Ukoo wetu unajina Baya...
Similar Songs
More from Toxic Fuvu
Listen to Toxic Fuvu Ukoo Wetu MP3 song. Ukoo Wetu song from album Ukoo Wetu is released in 2023. The duration of song is 00:02:39. The song is sung by Toxic Fuvu.
Related Tags: Ukoo Wetu, Ukoo Wetu song, Ukoo Wetu MP3 song, Ukoo Wetu MP3, download Ukoo Wetu song, Ukoo Wetu song, Ukoo Wetu Ukoo Wetu song, Ukoo Wetu song by Toxic Fuvu, Ukoo Wetu song download, download Ukoo Wetu MP3 song
Comments (28)
New Comments(28)
Stany Chriss
@ Sicily Muthoni#
Ukoo wetu ndo usiseme[0x1f602][0x1f602][0x1f602]. Ila nakukubali sana TOXIC[0x1f630][0x1f630][0x1f623][0x1f623]
157688175
Nkbl toxic
carol ndc9w
[0x1f629][0x1f629][0x1f629]
go.odluck jj
nice
Byaese Kilembwe
nikafikiri yanatokea huku kwetu tu ila aubas ndo dunia ilivyo
baruti clann0mv5
yeah
Trecky15
Toxic fuvu[0x26a1]
silver gunbwolf35
[0x1f627][0x1f627][0x1f627][0x1f627][0x1f608][0x1f612]
iam..nick
ukoo
Teddy vibes99
fire
france Tz
nomaa
[0x1f642][0x1f642][0x1f642]