Nina ujasiri
- Genre:Alternative
- Year of Release:2020
Lyrics
Nina ujasiri - Redemption Ministers
...
Nina ujasiri kutangaza injili ya yesu aliyeangikwa msalabani, Imani na nguvu nitie bwana nisipotoshwe niweze dumu kwako agenda ya moyoni mwangu ni kutangaza neno lako ×2 . Kama mitume wa zamani bwana walivyochochea Imaniii nami nishike mkono bwana nidumu kwako siku zote. Tembea nami niongoze nipitapo bonde la kifo niinue jina lako gizani na niinue jina lako mwangani ajenda ya moyoni mwangu ni kutangaza neno lako ×2 Niliyoyahesabu kuwa ya gharama maishani mwangu yote ni ubatili hakika sitaionea haya injili ya yesu bwana wangu injili ya yesu hakika ni nguvu kwa wote wamchao×2 Kama mitume wa zamani bwana walivyochochea Imaniii nami nishike mkono bwana nidumu kwako siku zote. Tembea nami niongoze nipitapo bonde la kifo niinue jina lako gizani na niinue jina lako mwangani ajenda ya moyoni mwangu ni kutangaza neno lako ×2
Similar Songs
More from Redemption Ministers
Listen to Redemption Ministers Nina ujasiri MP3 song. Nina ujasiri song from album Yahweh Jina Lake is released in 2020. The duration of song is 00:04:15. The song is sung by Redemption Ministers.
Related Tags: Nina ujasiri, Nina ujasiri song, Nina ujasiri MP3 song, Nina ujasiri MP3, download Nina ujasiri song, Nina ujasiri song, Yahweh Jina Lake Nina ujasiri song, Nina ujasiri song by Redemption Ministers, Nina ujasiri song download, download Nina ujasiri MP3 song