Maumivu Ya Kuachwa ft. Dawson Bulaga
- Genre:Soul
- Year of Release:2023
Lyrics
Maumivu Ya Kuachwa ft. Dawson Bulaga - ELTONE7
...
Nilikua na mpenzi, mwenye Sifa nyingi za Dunia Tulifurahia nyakati Kona nyingi za Dunia Aligeuza moyo wake kwa mabaya niliyo mfanyia moyo wangu unapata maumivu natamani siku zingejirudiaaaa ah ah. Maumivu ya kuachwa yoyoyoyooo zaidi ya kidonda yanachoma wengine wanavunjika moyo sababu ya kuachwa aah aaah wanashindwa kuendeleaaaa mhmhmhuuuu lla yupo mpenzi wakweli hawezi kukuacha aaa aaa aaah...... rafiki wa kweli NI YESU mpenzi wa kweli NI YESU faraja ya kweli NI YESU Ana nipenda kweliiiii iiiii.... uuuuh uuuuh Ipo tofauti ya mapenzi kati Yao nalo la mwenyezi wanadamu wakiachana kwa maneno mabaya husemezana wanadamu wakiachana chuki uadui vinainuka mazuri yote husahaulika roho ya kisasi iina nuka hivi umefikirili mala ngapi ume mwacha mungu Tena hajakukosea na pendo lake kwako halina kikomoo vipi yeye ange lipiza mabayayako ange anika ila yeye wa uruma ukimurudi mungu husamehe eeeee heheheheeee rafiki wa kweli NI YESU mpenzi wa kweli NI YESU faraja ya kweli NI YESU Ana nipenda kweliiiii iiiii.... uuuuh uuuuh zambe mbolingo zambee malamuuuu abhongilegene yesu nabiso nabiso nabiso yesu mesiya mungu wa upendo mungu mwema kwetu ooo oooh asitahili sifa yesu kwetu aah aaah aah rafiki wa kweli NI YESU mpenzi wa kweli NI YESU yeye mwema NI YESU yesu mesiya NI YESU rafiki wa kweli NI YESU mpenzi wa kweli NI YESU ajuwae kupenda NI YESU Wala hawezi kutenda NI YESU ni yesu ni yeee eeeeh papa Dawson Sam producer wa ukweli.
Similar Songs
More from ELTONE7
Listen to ELTONE7 Maumivu Ya Kuachwa ft. Dawson Bulaga MP3 song. Maumivu Ya Kuachwa ft. Dawson Bulaga song from album Maumivu Ya Kuachwa is released in 2023. The duration of song is 00:04:44. The song is sung by ELTONE7.
Related Tags: Maumivu Ya Kuachwa ft. Dawson Bulaga, Maumivu Ya Kuachwa ft. Dawson Bulaga song, Maumivu Ya Kuachwa ft. Dawson Bulaga MP3 song, Maumivu Ya Kuachwa ft. Dawson Bulaga MP3, download Maumivu Ya Kuachwa ft. Dawson Bulaga song, Maumivu Ya Kuachwa ft. Dawson Bulaga song, Maumivu Ya Kuachwa Maumivu Ya Kuachwa ft. Dawson Bulaga song, Maumivu Ya Kuachwa ft. Dawson Bulaga song by ELTONE7, Maumivu Ya Kuachwa ft. Dawson Bulaga song download, download Maumivu Ya Kuachwa ft. Dawson Bulaga MP3 song