Loading...
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Balalu 🅴 - Wakadinali
...
[Intro] Pira ni pyamu na ndranya mbrrrcha [Chorus: Domani Munga] Tire ndaksus na kanyamo Pira ni pyamu na ndranya mbrrrcha Ndula ni matisha na ni mtush Folks na fam hawaezi niangusha (Zoeea, zoea) Ukichachisha mbogi itapotea (Zoeea, zoea) Hata ukinibondea siezi kusotea Tire ndaksus na kanyamo Pira ni pyamu na ndranya mbrrrcha Ndula ni matisha na ni mtush Folks na fam hawaezi niangusha (Zoeea, zoea) Ukichachisha mbogi itapotea (Zoeea, zoea) Hata ukinibondea siezi kusotea [Verse 1: Munga Domani] Leta ujinga tubeef for real I'm not vegan I’m gluten-free Mi si mjeru ati "Guten Morgen" Kutwa morning mi mjehuri Inzagi goshodo huko Balaluu Ishidi mastingo kama waru Gang imelandia tusupuu Bangi imelandi matawi ya juu I'm sorry ile last time Kweli nlikukosea but it will happen again Chocha ye mrasa mbona alipotea? Bahati tu manze ju angemblein Pori ingekuwa disaster Habari ya kujikojolea, lia lia Fikiria, complain, meno 32 and then umaintain Burushwa kanairo must unaimunch Ama utanyonywa damu kama Onyanch Story za ovyo, mi huwanga na branch Mwanaume, haufai kukula lunch Wach, mziki ni bizna, wе, ndo inanilipa Album stray inapita, nawakandamiza Niko daily mboka niko mzozo, sispendingi ati zile za unyonge Mdеnge kama ni bonzo, ni mshiet, ni shonde Domani vako za mavoglo, mapenzi acha hapo nje Dem akinona ovyo ovyo, mpee simu apitie akonde [Chorus: Domani Munga] Tire ndaksus na kanyamo Pira ni pyamu na ndranya mbrrrcha Ndula ni matisha na ni mtush Folks na fam hawaezi niangusha (Zoeea, zoea) Ukichachisha mbogi itapotea (Zoeea, zoea) Hata ukinibondea siezi kusotea Tire ndaksus na kanyamo Pira ni pyamu na ndranya mbrrrcha Ndula ni matisha na ni mtush Folks na fam hawaezi niangusha (Zoeea, zoea) Ukichachisha mbogi itapotea (Zoeea, zoea) Hata ukinibondea siezi kusotea [Verse 2: Scar Mkadinali] Si hatutoki na tunaharibu (Zoeea) Nikuje na doskii ama ni akimu (Zoeea) Msupa wako akiwa na mimi anazima simu (Zoeea) Kivela lazima kiwake hata kiwe illegal (Zoeea) Yo, yo, yo ukiskia bro amenikamia home, jua hio form ni erokamano Msupa mbona una haga bigi na hauna ganji umekalia doh Muite "Kss kss", kamia form, tei ni zote mchanganyo Tire ndaksus na kanyamo, hataki umdishi we ni kama bro Jaba fresh Kariokor, mkwanja kesh hapana joke Anatext text, flash, text, text, flash, block Kwani tunaulizana? Bei ya ngataa inaumiza mans Bado wanachocha mavijanaa, hawabongi whenever Scar is around Vibare, hatuezi reason nao, maforeign washanga hizo loud Ndai stolen, bitch ni wa colle, wanadai muone ashaga tupa mbao Itankinda na aroma inatupa Tire anachimba inanichoma makucha Kusoma unasoma unatokea Juja Unachoma unachoma unapoteza future [Chorus: Domani Munga] Tire ndaksus na kanyamo Pira ni pyamu na ndranya mbrrrcha Ndula ni matisha na ni mtush Folks na fam hawaezi niangusha (Zoeea, zoea) Ukichachisha mbogi itapotea (Zoeea, zoea) Hata ukinibondea siezi kusotea Tire ndaksus na kanyamo Pira ni pyamu na ndranya mbrrrcha Ndula ni matisha na ni mtush Folks na fam hawaezi niangusha (Zoeea, zoea) Ukichachisha mbogi itapotea (Zoeea, zoea) Hata ukinibondea siezi kusotea [Verse 3: SewerSydaa Mkadinali] Yo, yo, yo Allow me kwanza nijiintroduce Loudest kushinda pastor Kush Essence aliona burning bush Kumbe ni mwere anaiva kistuch Si ndo tulimndasus kwa boot Managerr managerr managerr my foot East joh nimejaza magoons Watokee na senke matokeo utashtuka Too bad huezi nijua, too bad mpaka unabuya "Who's that?", mwambie ni Sewer Giz jana kuliwaka mvua Generation yao ni ya sheesha Unawacompare na si wa kuvuva Umeshinda ukintoanisha sijui za fare na sijai kukula Naserve tea asubuhi, kuna watu hawaezi ishi bila rumor Kwani hamcheki funny venye nyi hamna sense of humor Vumilia kaa inakuuma, kuma isikufanye mtumwa Train ya drill hapa si boomba, vegan nilienda full ham Samo ya street piga tapo, ’sionyeshe keja labda lojo Momo ametoka Pango, ambieni corporal nimeramo Yo, mofo toka form four, aha, yo, mofo toka f*** **** [Chorus: Domani Munga] Tire ndaksus na kanyamo Pira ni pyamu na ndranya mbrrrcha Ndula ni matisha na ni mtush Folks na fam hawaezi niangusha (Zoeea, zoea) Ukichachisha mbogi itapotea (Zoeea, zoea) Hata ukinibondea siezi kusotea Tire ndaksus na kanyamo Pira ni pyamu na ndranya mbrrrcha Ndula ni matisha na ni mtush Folks na fam hawaezi niangusha (Zoeea, zoea) Ukichachisha mbogi itapotea (Zoeea, zoea) Hata ukinibondea siezi kusotea Tire ndaksus na kanyamo Pira ni pyamu na ndranya mbrrrcha Ndula ni matisha na ni mtush Folks na fam hawaezi niangusha (Zoeea, zoea) Ukichachisha mbogi itapotea (Zoeea, zoea) Hata ukinibondea siezi kusotea Tire ndaksus na kanyamo Pira ni pyamu na ndranya mbrrrcha Ndula ni matisha na ni mtush Folks na fam hawaezi niangusha (Zoeea, zoea) Ukichachisha mbogi itapotea (Zoeea, zoea) Hata ukinibondea siezi kusotea
Similar Songs
More from Wakadinali
Listen to Wakadinali Balalu MP3 song. Balalu song from album NDANI YA COCKPIT 3 is released in 2022. The duration of song is 00:05:33. The song is sung by Wakadinali.
Related Tags: Balalu, Balalu song, Balalu MP3 song, Balalu MP3, download Balalu song, Balalu song, NDANI YA COCKPIT 3 Balalu song, Balalu song by Wakadinali, Balalu song download, download Balalu MP3 song