Nasamehe
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
No lyrics yet
Similar Songs
More from Joshua Mkupi
Listen to Joshua Mkupi Nasamehe MP3 song. Nasamehe song from album Nasamehe is released in 2022. The duration of song is 00:05:27. The song is sung by Joshua Mkupi.
Related Tags: Nasamehe, Nasamehe song, Nasamehe MP3 song, Nasamehe MP3, download Nasamehe song, Nasamehe song, Nasamehe Nasamehe song, Nasamehe song by Joshua Mkupi, Nasamehe song download, download Nasamehe MP3 song
Comments (9)
New Comments(9)
124618272
Iness Mshanga
Sikuwafuata kwamba nataka kuwa kwa video, Kama ambavyo mlinyenyekea na kuomba nikapoteza muda wangu ili video ikamilike ungekuwa muungwana basi kunitafuta baada ya video yako kukamilika na ku hit kwa PLATFORM zote. Director ulishamlipa na wewe unalipwa vilevile kwanini usinilipe na mimi? NOTE: SIKUWAOMBA AMA KUWAFUATA NINYI KWAMBA NATAKA KUWA KWA NYIMBO YAKO. and I'm serious about this ✍️ sintoishia hapa tu!!
Iness Mshanga
@BOOMPLAY naomba mshulikie hili. sihitaji tufike mbali zaidi. #Boomplay
Iness Mshanga
JOSHUA MKUPI unatangaza msamaha kwa watu ili hali wewe UNAZULUMU KWA MAKUSUDI. nahitaji malipo Yangu TAFADHALI sikupenda kufika huku ila sasa imebidi, maana What's app ukaona uni block na SIM ukawa haupokei tena. Ni mimi video vixen wa hiyo VIDEO YA NYIMBO yako ya MSAMAHA. sometimes ustaarabu ni kitu kizuri ili next time mtu/watu wasishindwe kukusaidia. SINTAISHIA HAPA TU!!!
davian
Spiritually touched by the song....indeed tuwe na upendo
Iness Mshanga
Kama msamaha waitwa ujinga basi niwe mjinga namba moja machoni pa watu..........My Our God Almighty Bless you Josh[0x1f60e]
Frola Leopord
Wimbo mzuri saana nimeiskia wasafi kweny kipind imekuwa favorite kwangu mnoooo, mda wote inanipa amanii barikiwa brother Joshua❤❤❤.
Wills Lameckis
Nasema siwezi kubeba watu moyoni mwangu, nataka nijazwe na pendo lako Joshua God bless you
103450074
,,,Nasamehe
i like it. umenibariki