kaveve kazoze Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
kaveve kazoze - Spider Clan
...
...Intro....
Genje ni genje warazi wamemydi
Ni kumydi tuko fity tuko best tunanawo ni wikendi warazi wakimwok tuko pia tukibanju
Rieng kaa ni genje rarua kuchafua madunya mabanga warazi si mutwache
Ni kangere na sidai kukatema
ni kajaba si heri tu nikameze
pande moja ni kaveve kazoze
unibembe hata mbele ya kiridi
sitambui wewe maunenge
mami wa maembe na marenge
ngesh ngesh ni mdame wa maform
chain chain ifike hadi kwa tom
ma gal bess wangu ni ma .com
cash crop za nyandarua ni mawaru
niwambie nganya tifi ni subaru
nimeachwa na karao nikadakwa na kaparu
mata...... master wangu ni kamaru
ni bidii #kujituma