Bora Kushukuru Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Bora Kushukuru - Obby Alpha
...
....oyeyeyee oyeyeyee.
Bora acha nimshukuru mungu kwa ivi nilivyo maana ata kuna wengine hawajafika nilipo
Bora acha nimshukuru kwa iki nilichopata maana ata kuna wengine wamekosa kabisaa.
.....tabasabu chugu....nataka nibadili wangu mtasamo niwaze kitajiri na wewe maumivu juu nataka nibadili wangu msimamo niishi kijasiri.
......ile habari ya kulialia kila siku nakataa(nakataa).na kama nilisainiwa mkataba nafuta aa ndugu tulowasaidia wakaficha makucha (makucha).wao walipo fanikiwa wakataka kutushusha.
yelelee nafuta zile (why me)×2.sijapata (kwa nini)×2..
.......najawa (ujasiri)×2
......nitapata (na mimi)×2
......nafuta zile (why mimi)×2
......sijapata (kwa nini)×2
.....najawa (ujasiri)×2
.....nitapata ( na mimi)×2
......Bora acha nimshukuru mungu kwa ivi nilivyo maana ata kuna wengine hawajafika nilipo.×2
.....bora acha nimshukuru mungu kwa iki nilichopata maana ata kuna wengine wamekosa kabisaa.×2
yeeee..... nilipo ueda kuna wengine wanapatamani jamani uko nilishakataliwa na watu wa nyumbani kile kidogo ninacholalamika lakini nimepata wengine wako wamepambana wamekosa kabisaa.
kumbe ni boraa kuridhika na iki nilichopata ndio yangu ridhiki.
mungu ni bora yeye hatabariki amekupa hicho mi amenipa iki .
......nafuta zile(why me)×2
...........sijapata( kwa nini)×2
.......najawa (ujasiri)×2
.........nitapata (na mimi)×2
..........nafuta zile (why mimi)×2
.........sijapata (kwa nini)×2
.........najawa (ujasiri)×2
.........nitapata (na mimi)×2
Bora acha nimshukuru kwa ivi nilivyo maana ata kuna wengine hawajafika nilipo.
Bora acha nimshukuru kwa iki nilicho pata maana ata kuna wengine wamekosa kabisaaa.
LYRICS By:Mwende furaha.