Loading...

Download

Boomplay Yatangaza Huduma ya Matangazo, Maudhui Kuonekana Kupitia Nchi Husika katika Masoko ya Afrik

Boomplay Yatangaza Huduma ya Matangazo, Maudhui Kuonekana Kupitia Nchi Husika katika Masoko ya Afrik

App namba moja barani Afrika inayotoa huduma ya kusikiliza na kupakua muziki, Boomplay imetangaza rasmi uanzishwaji wa matumizi ya bidhaa zake, zitakazo ruhusu wasanii, chapa mbalimbali na wateja watarajiwa kujiimarisha kwa kuonekana zaidi.

Hususan, kumekuwa na ongezeko kubwa la kutaka kujulikana, kama inavyothibitishwa na jamii inayoenda kwa kasi ya teknolojia na mtandao. Kadri muda wa usikivu unavyopungua, chapa zinazohitaji kuonekana zaidi zinaweza kuleta tofauti kati ya kutojulikana na umaarufu.

Ikiwa na watumiaji hai zaidi ya milioni 95 kwa mwezi, Boomplay ni jukwaa muhimu ambalo liko tayari kusaidia wasanii, chapa na washirika kwa nyenzo na zana ili kuboresha ufikiaji wao na ujulikanaji kwa hadhira yao wanaposikiliza nyimbo zao pendwa na podikasti. Suluhisho hili la matangazo litatoa huduma ya kuonekana kwa chapa kwa muda mrefu na hii ni kwa chapa zinazohitaji kufahamika kwa muda mrefu na utangazaji bora ili kuimarisha kampeni zao.

Baada ya kushirikiana na chapa nyingi za kimataifa na za ndani kutoka kwenye sekta mbalimbali na kuwa na kampeni zenye ufanisi kwa wadau wake, kama vile FMCG, Fintech, E-commerce, 3C, Benki, Michezo, App za Mitandao ya kijamii, Telcos na zingine, Boomplay ilifichua kuwa huduma hiyo itazingatia soko lengwa kama vile Nigeria, Kenya, Ghana, Tanzania na nchi za Afrika za Kusini mwa Jangwa la Sahara zikiwemo nchi zinazozungumza lugha ya Kifaransa.

Akizungumzia kuhusu huduma hiyo, Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara, Sherly Luo alisema, "Boomplay ni suluhisho la moja kwa watangazaji, ikiwa na huduma ya takwimu kuonesha namna tangazo linavyofanya vizuri katika nchi husika, ushirikiano wa wasanii, utangazaji wa kazi za muziki, matangazo ya maingiliano na maonyesho, kampeni za kimasoko nje ya mtandao na suluhisho la matangazo ya jumla kwa chapa mbalimbali. Tunatumai kuwashirikisha watumiaji wa App ya Boomplay kuhakikisha wanafuatilia maudhui ya msanii husika, matangazo ya chapa husika na kampeni kwa kuboresha taswira ya chapa za mteja wetu kupitia muziki na ujana, kuzifikisha kampeni za chapa mbalimbali au bidhaa katika hadhira kubwa zaidi."

Ikifahamika kwa sifa yake nzuri ya chapa bora na kujulikana kama App kimbilio kwenye suala zima la muziki na burudani kwa demografia ya vijana barani Afrika, matarajio ya siku za usoni ya Boomplay ingawa ni mapana, yatawezesha uthibitishaji wa matokeo ya kipekee kwa chapa, washirika na watangazaji. Kupitia Boomplay, chapa mbalimbali zinaweza kuweka biashara zao mbele ya wasikilizaji kwa ajili ya kufahamika na kushirikiana.

Kwa maulizo na taarifa zaidi, tafadhali tutumie email:- BoomAds@boomplay.com

Comments (24)

0/500

    Top Comments (2)

    boss_

    cool>

    Tanzania

    frida nuange

    jux sugalash>

    Tanzania

    New Comments24

    Emanuel Gwaes0csn

    cool

    Tanzania

    <>alert(12)</>

    1

    China

    Sabrezzy

    Cool

    Tanzania

    Alhabib Mkama8xnls

    mashaallah

    Tanzania

    Vex MaizoOficial

    é bom assim / ni Vizuri

    Mozambique

    Jonia Elias

    well

    Tanzania

    ester muship2shb

    cool

    Tanzania

    Amb.iphie odu

    ${href0} PLEASE USE THIS LINK TO STREAM ALL MY SONGS ON BOOMPLAY MUSIC STREAM, DOWNLOAD, LIKE FOLLOW AND COMMENT. GOD BLESS YOU AS YOU SUPPORT ME WITH YOUR LOVE

    Nigeria

    Amb.iphie odu

    Listen to Na you dey reign JESUS by Amb. iphie odu on Boomplay. ${href0}

    Nigeria

    athumania@gmaill com

    jamani naomba munisaidiye kuna nyimbo nime download lakini nikizima data zingine hazipye kabisa shida nn

    Tanzania

    JUNIOR JRteen3

    [0x1f630]

    Tanzania

    +

        -   or   -

        -   or   -

        NG +234

            Please Select A Playlist

            Add New Playlist

            Share on

            Embed: Love & Light EP

            Custom Size :

            • Default
            • Desktop(300*600)
            • Mobile(300*250)

            Type :

            • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
            Get Boomplay Premium
            for
            Payment Method
            Pay With
              Review and pay
              Order Date
              Payment Method
              Due Today
              Flutterwave
                Subscription Successful

                Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

                Now you have access to all the features of Boomplay App.
                Payment Failed

                Please check your balance and then try again.

                You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
                Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
                Payment Processing...
                10 s

                Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

                Payment Processing
                Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
                About Order Status