Loading...

Download

Burudika na Playlist kutoka Puma Gas 'Pika na Muziki'

Burudika na Playlist kutoka Puma Gas 'Pika na Muziki'

Kwa mara ya kwanza kabisa, Boomplay itakuwa na Playlist maalum kwaajili ya mapishi ambayo si tu itafanya mapishi kuwa ya kusisimua na kufurahisha zaidi, lakini pia kuungana pamoja na hadhira inayohusika kama sehemu muhimu kwa maisha yetu ya kila siku. Fursa hii ya adhimu itafanya PUMAGAS kuendana na utamaduni na kuongeza ufahamu Playlist hiyo maalum.


Playlist hii iliyopewa jina la "PIKA NA MZIKI" itakuwa playlist maalum ya PUMAGAS. Itajumuisha angalau nyimbo 30 za miondoko ya aina mbalimbali inajumuisha mkusanyiko wa wasanii wanaopatikana Boomplay. Playlist hii itakuwa ikibadilishwa kila wiki kulingana na wimbo unaofanya vizuri kwenye app na kupata wasikilizaji wengi zaidi.


Pakua app ya PumaGas, piga *148*32# au piga 0800111192 tukuletee BURE!


Pakua App hapa: https://linktr.ee/pumagas

Sikiliza Playlist hii ya Pika Na Muziki hapa chini

Pika Na Muziki

Comments (9)

0/500

    New Comments9

    hakiimkibunda

    Unable to display content due to abnormal content or comment protection

    Tanzania

    Lujiga Tz

    okay tuko pamoja

    Tanzania

    NYONGO J CHUMA'Sre5za

    asante boomplay

    Tanzania

    Togolamama9

    ${href0}

    Tanzania

    Bobby Mulolo

    Image | Boomplay Music
    Zambia

    Vincent Koechjltn

    Asante sana Boomplay hii ni fursa muhimu

    Kenya

    +

        -   or   -

        -   or   -

        NG +234

            Please Select A Playlist

            Add New Playlist

            Share on

            Embed: Love & Light EP

            Custom Size :

            • Default
            • Desktop(300*600)
            • Mobile(300*250)

            Type :

            • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
            Get Boomplay Premium
            for
            Payment Method
            Pay With
              Review and pay
              Order Date
              Payment Method
              Due Today
              Flutterwave
                Subscription Successful

                Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

                Now you have access to all the features of Boomplay App.
                Payment Failed

                Please check your balance and then try again.

                You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
                Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
                Payment Processing...
                10 s

                Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

                Payment Processing
                Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
                About Order Status