Boom Milestone | Ngoma ya Baddest 47 'Sir God' yafikisha streams milioni 2 Boomplay
Ngoma ya staa wa muziki nchini Tanzania, Baddest 47 'Sir God' imefanikiwa kufikisha streams milioni 2 kwenye app ya Boomplay.
Baddest 47 ni miongoni mwa wasanii ambao muziki wao umetokea kupata wafuasi wengi sana nchini Tanzania kutokana na namna ambavyo unabeba 'vibe' kubwa na kufanya kuchezwa sana katika maeneo ya klabu za muziki.
'Sir God' ni bonge moja la ngoma ambalo Baddest ameelezea mambo mbalimbali akihusianisha na Mungu muumba.
Anamuomba Mungu amfanyie wepesi kupata baadhi ya vitu ambavyo hana.
Hii ni sehemu ya mashairi ya wimbo huu: "Sir God, (God) mi' mwanao Sir God, Ona nimekosa kodi, mwenyewe nyumba ata nikwida chogi, Afu Sir God, (God) kuna kitu tukifoji, Demu wangu namcheat Vipi, hatuwezi tukamwongeza body? Afu Sir God, (God) mie similiki vogi, Basi fanya kampango nimiliki hata sinagogi."
"Oya Sir God, (God!) Nimekimbia sana jogging, Nimepiga sana gym lakini kitumbo hakitoki, Oya Sir God, (amen) bariki bariki (amen), Bariki nibariki (amen) bariki bariki (amen), Bariki nibariki (amen) bariki bariki (amen), Bariki nibariki (amen) bariki bariki (amen), Bariki."
#BuzzBrandColumn #BoomMilestone #Music
Comments (17)
New Comments(17)
Rainey1virn
kevohancyjohn@gmail.com
Ngoma frexh ngoma ya kwendq pongezi kwake
Said Omarycf9xc
[0x1f602][0x1f602][0x1f602][0x1f602][0x1f602][0x1f602][0x1f602][0x1f602][0x1f602]
eliavta55
[0x1f60d]
lorda5xhu
kaua sana humu
JOVENARY NGAIZA
amazing kakah umetishaaaaa
rahma maulidd6elc
nice song❤️
hudhaif rz9ly
[0x1f634][0x1f620][0x1f620]
DANGOTE 08270
nice music
Erick Mganyiz
ametisha sana pongez kwake
Reysulle
OfficialAjo Ajo
congratulations
Nice song