Loading...

Download

Boom Discoveries | Mavokali: Staa mpya anayefanya vizuri kwenye game ya muziki

Boom Discoveries | Mavokali: Staa mpya anayefanya vizuri kwenye game ya muziki

Tasnia ya muziki nchini Tanzania inazidi kukua kwa kasi kadri siku zinavyozidi kwenda mbele.


Kila kukicha wasanii wapya wakali wanazidi kuibuka na kuleta chachu ya kufanya muziki mzuri kwaajili ya kuwapa mashabiki na wapenda muziki kwa ujumla burudani nzuri.


Kwa sasa kuna kijana anaitwa Mavokali ambaye ni moja ya wasanii upcoming wanaofuatiliwa sana kutokana na namna ameupa thamani muziki wake. Ni msanii ambaye ujio wake uliwashtua watu wengi, huku baadhi wakifananisha uimbaji wake na Diamond Platnumz.

Boom Discoveries | Mavokali: Staa mpya anayefanya vizuri kwenye game ya muziki

Wimbo wake wa kwanza kabisa kumtambulisha ni 'Nitakusahau'. Wimbo huu ni wa mapenzi ambapo Mavokali anazungumzia namna ambayo watu wawili walio kwenye mahusiano hupata shida sana pale wanapoachana na kukumbuka nyakati ambazo walikuwa wakifurahia pamoja.


sasa neno lenye 'Nitakusahau' linakuja pale ambapo kila mmoja kwa waliotengana inabidi wasahau hata pale wanapotembelea maeneno waliyokuwa wakifurahia pamoja ili wapate kuendelea na maisha mengine.


Baada ya ngoma hiyo akaja na 'Yamenizidia', 'Naogopa', 'Dear X', 'Commando' na sasa anatamba na 'Mapopo'.

Boom Discoveries | Mavokali: Staa mpya anayefanya vizuri kwenye game ya muziki

'Commando' ndiyo ngoma ambayo ilikuja na balaa kubwa sana hususani kwenye mtandao wa TikTok. Ni ngoma ambayo imemfungulia milango mingi sana kuanzia kuitwa kwenye 'shows', kolabo na fursa nyingine mbalimbali.


'Mapopo' ambayo ndiyo ngoma yake mpya kwa sasa ameshirikisha staa mkubwa wa muziki Tanzania, Rayvanny. Endelea kusikiliza 'Mapopo ft Rayvanny' hapo chini kupitia Boomplay.


#BuzzBrandColumn #BoomDiscoveries #Music #Mavokali #Mapopo

Comments (41)

0/500

    New Comments41

    Rashid msang

    Anajua

    Tanzania

    dazzlewwolp

    big up

    Tanzania

    benyjulius196@gmail.com

    ubarikiwe na uzur wko

    Tanzania

    herrynickxous malz

    unyama 2 ✊✊

    Tanzania

    official vanessa

    Vanessaqgmdy:

    unyama mwingi ngoma kali sana[0x1f628][0x1f636][0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f]

    Tanzania

    merry6njtg

    naipenda kazi ako ,,i wish ningekuwa mimi[0x1f641][0x1f638][0x1f604]

    Tanzania

    Reshmaiwtg5

    Hi

    Tanzania

    140481887

    keep it up

    Tanzania

    moreenkornelio

    I love U so much

    Image | Boomplay Music
    Tanzania

    method philipopdwb1

    good

    Tanzania

    obed kixillos7dkl

    big up

    Tanzania

    shabanrajabu1000@gmail.com

    nx

    Tanzania

    +

        -   or   -

        -   or   -

        NG +234

            Please Select A Playlist

            Add New Playlist

            Share on

            Embed: Love & Light EP

            Custom Size :

            • Default
            • Desktop(300*600)
            • Mobile(300*250)

            Type :

            • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
            Get Boomplay Premium
            for
            Payment Method
            Pay With
              Review and pay
              Order Date
              Payment Method
              Due Today
              Flutterwave
                Subscription Successful

                Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

                Now you have access to all the features of Boomplay App.
                Payment Failed

                Please check your balance and then try again.

                You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
                Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
                Payment Processing...
                10 s

                Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

                Payment Processing
                Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
                About Order Status