Loading...

Download

Boom Fresh | Ngoma kali zilizoachia wiki na zinapatikana Boomplay hizi hapa

Kila mwisho wa wiki huwa tunakusogezea ngoma ambazo zimeachia wiki nzima kwaajili ya kukukumbusha kusikiliza ngoma hizo endapo utakuwa umepitwa kutokana na shughuli mbalimbali za kila siku.

Wiki hii tumeshuhudia wasanii wakiachia ngoma mbalimbali. Wasanii hao ni Dogo Janja (Pilot), Mimi Mars (Mi Casa Sucasa), Marioo (The Kid You Know), Chege (Chill), Mocco Genius (Nakupenda), Tommy Flavour (Whine 4 Me), Lulu Diva (Nikupe), Billnass (Puuh ft Jay Melody), Christian Bella (Mamelisa).


Pilot ft. GENIUSJINI X66 - Dogo Janja

Boom Fresh | Ngoma kali zilizoachia wiki na zinapatikana Boomplay hizi hapa

Msanii wa Bongo Fleva, Dogo Janja amemaliza ukimya wake baada ya kuwashushia mashabiki wake ngoma mpya 'Pilot'. Hii ni ngoma kali ambayo amemshirikisha GENIUSJINI X66. Inawezekana hii ikawa ngoma ya mwisho ya Dogo Janja kwa mwaka huu wa 2022.

Pilot ft. GENIUSJINI X66

Mi Casa Su Casa - Mimi Mars

Boom Fresh | Ngoma kali zilizoachia wiki na zinapatikana Boomplay hizi hapa

Mimi Mars amerejea tena kwenye masikio ya wapenda muziki kwa kuachia mkwaju wake mpya Mi Casa Su Casa. Ngoma hii ni ya mapenzi huku jina la ngoma hiyo likiwa limechukuliwa kutoka lugha ya Kispaniola likiwa na maana ya 'Nyumba Yangu Ni Nyumba Yako'. Endelea kuburudika na ngoma hii hapo chini kupitia Boomplay.

Mi Casa Su Casa

The Kid You Know - Marioo

Boom Fresh | Ngoma kali zilizoachia wiki na zinapatikana Boomplay hizi hapa

Baada ya kusubiri kwa muda mrefu, hatimaye Marioo ameshusha albamu yake mpya kabisa inayofahamika kwa jina la 'The Kid You Know' yenye jumla ya ngoma 17. Albamu hiyo imejumuisha kolabo za wasanii mbalimbali kutoka ndani na nje ya Tanzania. Wasanii hao ni Harmonize, Rayvanny, Alikiba, LadiPoe, Tyla, Jux, Fik Fameica na wengine. Ngoma ambazo zilitangulia kuachiwa kabla ya ngoma hii ni My Life, Naogopa, Mi Amor aliyomshirikisha Jovial, na Dear Ex.

The Kid You Know

Chill ft. Tony Duardo - Chege

Boom Fresh | Ngoma kali zilizoachia wiki na zinapatikana Boomplay hizi hapa

Mkongwe kwenye tasnia ya muziki Tanzania, Chege amerudi kusikika kwenye masikio ya wapenda muziki wote kwa kudondosha ngoma yake ya 'Chill'. Ni ngoma ambayo kwa kiasi ina miondoko ya Amapiano. Ni ngoma yake ya nne kwa mwaka huu wa 2022. Endelea kusikiliza ngoma hii hapo chini kupitia Boomplay.

Chill ft. Tony Duardo

Nakupenda - Mocco Genius

Boom Fresh | Ngoma kali zilizoachia wiki na zinapatikana Boomplay hizi hapa

Producer maarufu nchini Tanzania ambaye pia ameamua kufanya muziki, Mocco Genius ameachia ngoma mpya 'Nakupenda'. Ngoma hii yenye maudhui ya mapenzi ya nne kutoka kwake tangu alipoanza kuimba rasmi.

Nakupenda

Whine 4 Me - Tommy Flavour

Boom Fresh | Ngoma kali zilizoachia wiki na zinapatikana Boomplay hizi hapa

Mkali wa muziki kutoka Kings Music, Tommy Flavour amewabariki wapenda muziki kwa kuwaleta ngoma mpya 'Whine 4 Me' akiwa amemshirikisha Vanillah. Ni wimbo wenye maudhui ya mapenzi. Sikiliza hapo chini kupitia Boomplay

Whine 4 Me ft. Vanillah

Nikupe - Lulu Diva

Boom Fresh | Ngoma kali zilizoachia wiki na zinapatikana Boomplay hizi hapa

Msanii wa muziki, Lulu Diva amewakumbuka mashabiki wake na kuamua kuwapa zawadi ya kuelekea kufunga mwaka baada ya kuachia wimbo mpya 'Nikupe'. Ngoma hii imetayarishwa na FOXXMADEIT.

Nikupe

Puuh ft. Jay Melody - Billnass

Boom Fresh | Ngoma kali zilizoachia wiki na zinapatikana Boomplay hizi hapa

Rapa mahiri wa muziki hapa Tanzania, Billnass ameleta wimbo mpya ambao amemshirikisha Jay Melody. Ni ngoma kali ambayo hakika hutapenda kuiruka kwenye playlist yako muda wote. Sikiliza zaidi ngoma hii 'Puuh' hapo chini kupitia Boomplay

Puuh ft. Jay Melody

#BuzzBrandColumn #BoomFresh #Music #Trending

Comments (2)

0/500

    New Comments2

    Gman Kajad Official

    Gif | Boomplay Music
    Ghana

    marizaka

    Nice

    Tanzania

    +

        -   or   -

        -   or   -

        NG +234

            Please Select A Playlist

            Add New Playlist

            Share on

            Embed: Love & Light EP

            Custom Size :

            • Default
            • Desktop(300*600)
            • Mobile(300*250)

            Type :

            • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
            Get Boomplay Premium
            for
            Payment Method
            Pay With
              Review and pay
              Order Date
              Payment Method
              Due Today
              Flutterwave
                Subscription Successful

                Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

                Now you have access to all the features of Boomplay App.
                Payment Failed

                Please check your balance and then try again.

                You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
                Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
                Payment Processing...
                10 s

                Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

                Payment Processing
                Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
                About Order Status