Loading...

Download

Boom Milestone | Ngoma ya Rayvanny 'Nitongoze' imefikisha zaidi ya streams milioni 5 Boomplay

Boom Milestone | Ngoma ya Rayvanny 'Nitongoze' imefikisha zaidi ya streams milioni 5 BoomplayNgoma ya mpya ya Rayvanny 'Nitongoze' imefanikiwa kufikisha zaidi ya streams milioni 5 kwenye app ya Boomplay.


'Nitongoze' ni ngoma ya Rayvanny ambayo aliiachia Ijumaa, Novemba 11, 2022 na mpaka sasa ni takribani wiki tatu na siku kadhaa zimepita tangu kuachiwa.


Ngoma hii ya Amapiano ambayo amemshirikisha Diamond Platnumz ni moja ya ngoma kali ambazo Rayvanny amefanya na Diamond Platnumz. Ikumbukwe Rayvanny amewahi kuwa chini ya Diamond kupitia lebo ya WCB Wasafi.


Hii inakuwa ngoma ya sita wawili hawa kufanya pamoja. Ngoma nyingine ni 'Vumbi', 'Mwanza', 'Tetema', 'Amaboko', 'Iyena' na 'Salome'.


'Nitongoze' ni ngoma ambayo Rayvanny na Diamond wanasema kuwa jimbo liko wazi na yeyote anayewataka basi ruksa kuwatongoza.

Boom Milestone | Ngoma ya Rayvanny 'Nitongoze' imefikisha zaidi ya streams milioni 5 Boomplay

"Hii ni sehemu ya mashairi ya wimbo huu: "Maswali mengi kwa waiter hauna hela nini (Eti), Iyo shingapi hii shingapi hauna hela nini (Eti), Maswali mengi kwa waiter hauna hela nini (Eti), Ile shingapi hii shingapi hauna hela nini, Nimeachwa sitaki tena maswali, Naenda beach kula upepo wa bahari, Naumwagilia moyo mziki kwa mbali, Jimbo likowazi sema nitakubali," Rayvanny.


"Ati unanitaka Eti unanipenda (basi nitongoze) Unanitaka Eti unanipenda (basi nitongoze) Unanitaka
Eti unanipenda (basi nitongoze) Unanitaka Eti unanipenda (basi nitongoze) Eh bwana we," Diamond Platnumz.


Ngoma hii imetayarishwa na moja ya watayarishaji mahiri kwa sasa Tanzania, S2Kizzy. Endelea kusikiliza 'Nitongoze' hapo chini kupitia Boomplay.

Nitongoze ft. Diamond Platnumz

#BuzzBrandColumn #BoomMilestone #Music #Trending #Nitongoze

Comments (38)

0/500

    New Comments38

    Emannuel9h79j

    [0x1f630][0x1f612][0x1f608][0x1f617]

    Tanzania

    nuel FAM

    saana

    Tanzania

    Moudy sogo

    Iko pw san

    Tanzania

    146799282

    god bless you

    Tanzania

    Jamiranga

    Hongera

    Kenya

    agness1shar

    unyama unyama

    Tanzania

    131401316

    Image | Boomplay Music
    Tanzania

    udaah mumu

    noma sana[0x1f618]

    Tanzania

    152471553

    ni unyama mwaisa

    Tanzania

    adamm4pan

    Unyama mwingi

    Tanzania

    +

        -   or   -

        -   or   -

        NG +234

            Please Select A Playlist

            Add New Playlist

            Share on

            Embed: Love & Light EP

            Custom Size :

            • Default
            • Desktop(300*600)
            • Mobile(300*250)

            Type :

            • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
            Get Boomplay Premium
            for
            Payment Method
            Pay With
              Review and pay
              Order Date
              Payment Method
              Due Today
              Flutterwave
                Subscription Successful

                Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

                Now you have access to all the features of Boomplay App.
                Payment Failed

                Please check your balance and then try again.

                You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
                Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
                Payment Processing...
                10 s

                Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

                Payment Processing
                Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
                About Order Status