New Music | Harmonize aachia mkwaju mpya 'Weed Language'
Staa wa muziki Tanzania, Harmonize siku chache zilizopita aliachia ngoma yake kali ambayo inafahamika kwa jina la 'Weed Langauge'.
Ngoma hiyo amemshirikisha nyota wa muziki wa Dancehall kutoka Jamaica, Konshens. Wimbo huu unasifu matumizi ya bangi.
Harmonize alianza kudokeza ujio wa ngoma hii Desemba 1 2022 baada tu ya kuonya kwamba alikuwa mbioni kuachia wimbo wa wenye maudhui ya bangi.
Katika wimbo huo, Harmonize na Konshens wanatoa majina mbalimbali ambayo bangi inatajwa katika mataifa mbalimbali duniani.
"Unaitaje bangi kwa lugha yako?" Harmonize anaimba kwa kurudia mara kadhaa.
Katika ujumbe aliouweka kwenye mitandao ya kijamii kabla hajatoa wimbo huo wenye utata, Harmonize alisisitiza kuwa asipotoa wimbo wa bangi mwezi huu wa Desemba apigwe risasi.
“Desemba hii nisipotengeneza wimbo kuhusu weed shoot me,” aliandika Harmonize.
Kwa sasa ina streams 230.5k Boomplay. Bofya hapo chini kusikiliza.
#Harmonize #WeedLangauge #Music
Comments (7)
New Comments(7)
Danizy006%
sasa na sisi tanzania tunaanza kuimba nyimbo ambazo hazieleweki ila ndo hivyo zinatamba na zinasonga
Hancy Edward
[0x1f631][0x1f631]
001 barayandema
sasa na sisi tanzania tunaanza kuimba nyimbo ambazo hazieleweki ila ndo hivyo zinatamba na zinasonga
ezekia mgona0714980657
kat,kkxh
Young Teflon P1 9th
[0x1f602][0x1f602] konshens na amapiano wapi na wap
Neema p
[0x1f640][0x1f640][0x1f640][0x1f640]
D magic Mc
[0x1f642][0x1f642][0x1f642]
hahaaaaahahaha ata siulew