Loading...

Download

Boom Discoveries | Kontawa anavyozidi kupaa

Boom Discoveries | Kontawa anavyozidi kupaa Rapa mahiri wa muziki anayekuja kwa kasi, Kontawa ameendelea kuwa gumzo kwenye tasnia ya muziki nchini Tanzania.


Ameendelea kuwa miongoni mwa marapa chipukizi ambao wapenda muziki wameelekeza masikio yao kwaajili ya kuwasikiliza.


Ni kijana ambaye amejipambanua namna ambavyo ameujenga muziki wake na kusikilizwa na kila mtu kutokana na jinsi anavyoyatengeneza maudhui yake.


'Champion Remix' ngoma ambayo amemshirikisha Harmonize inatamba kwa sasa katika vyomba vya habari na majukwaa mengine ya muziki. Mpaka sasa ngoma hii imefikisha streams milioni 1.2 kwenye app ya Boomplay.

Boom Discoveries | Kontawa anavyozidi kupaa

Umahiri wa ngoma hii umetokana na jinsi alivyoyasuka maudhui yake na kukubalika na wapenda muziki hususani wale ambao wanaendelea kupambana katika harakati za kusaka maisha bora kila jua linavyochomoza na kuzama.


'Champion Remix ft. Harmonize' inaelezea namna ambavyo mapambano yanavyoanzia chini mpaka mtu kufanikiwa.


Hii ni sehemu ya mashairi ya wimbo huu: Mi nimezaliwa Mtwara Huku ndani ndani Chitoholi Narendele Pengine hata bibi yangu na babu bado wajua rais ni Nyerere Huko kwetu machawa wapo tena wa kikung'ata wanakuwacha na vipele na sio machawa wa mjini hadi mtoto wa kike wanamuonea gere Mi sikumbuki kama Mungu nishamuomba utajiri ila kanipa kwa sababu nastahili....."


Uhodari wa ngoma hii ulitokana na 'Champion' ile ya kwanza aliyofanya na Nay Wa Mitego ambayo kwa sasa ina streams milioni 3.2.

Boom Discoveries | Kontawa anavyozidi kupaa

Ngoma hii unaipa asilimia ngapi kwa mashairi yake? Endelea kusikiliza 'Champion Remix ft. Harmonize' hapo chini kupitia Boomplay.

Champion Remix ft. Harmonize

#BuzzBrandColumn #BoomDiscoveries #Music #Kontawa #Champion

Comments (6)

0/500

    New Comments6

    Kida Kapole

    [0x1f652]

    Tanzania

    kisherp0yuz

    [0x1f620][0x1f607][0x1f607][0x1f607]

    Tanzania

    Martha Kimaronl9ou

    wow

    Tanzania

    Deleted User

    This comment has been deleted.

    Others

    ahamadptlid

    raeal kontawa anafanya kweli sasa azidi ongeza bidii maana game gumu

    Tanzania

    Gman Kajad Official

    awesome

    Ghana

    +

        -   or   -

        -   or   -

        NG +234

            Please Select A Playlist

            Add New Playlist

            Share on

            Embed: Love & Light EP

            Custom Size :

            • Default
            • Desktop(300*600)
            • Mobile(300*250)

            Type :

            • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
            Get Boomplay Premium
            for
            Payment Method
            Pay With
              Review and pay
              Order Date
              Payment Method
              Due Today
              Flutterwave
                Subscription Successful

                Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

                Now you have access to all the features of Boomplay App.
                Payment Failed

                Please check your balance and then try again.

                You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
                Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
                Payment Processing...
                10 s

                Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

                Payment Processing
                Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
                About Order Status