Loading...

Download

Boom Top | Ngoma 10 kali kati ya 100 bora zilizofanya vizuri Boomplay wiki hii hizi hapa!

Leo ni Jumatatu murua, siku ambayo tunamulika ngoma ambazo zimefanya vizuri ndani ya orodha ya ngoma 100 wiki iliyopita.

Katika kuhakikisha hili linakwenda vizuri, tunakusogezea ngoma 10 ambazo zimeongoza kwenye chati wiki iliyopita.

1. Nitongoze ft. Diamond Platnumz - Rayvanny

Boom Top | Ngoma 10 kali kati ya 100 bora zilizofanya vizuri Boomplay wiki hii hizi hapa!

Wiki iliyopita staa wa muziki Tanzania, Rayvanny aliachia ngoma mpya 'Nitongoze'. Ngoma hii mpaka sasa imeendelea kufanya vizuri na kufanikiwa kukaa nafasi ya kwanza katika orodha ya ngoma 100 bora Boomplay.

Nitongoze ft. Diamond Platnumz

2. Yataniua ft. Diamond Platnumz - Mbosso

Boom Top | Ngoma 10 kali kati ya 100 bora zilizofanya vizuri Boomplay wiki hii hizi hapa!

Yataniua ni ngoma ambayo inapatikana kwenye EP mpya ya Mbosso inayojulikana kwa jina la Khan. Ngoma hii yenye mahadhi ya Amapiano ni kali sana na amemshirikisha Diamond Platnumz. Endelea kusikiliza ngoma hii hapo chini.

Yataniua ft. Diamond Platnumz

3. Huyu Hapa

Boom Top | Ngoma 10 kali kati ya 100 bora zilizofanya vizuri Boomplay wiki hii hizi hapa!

'Huyu Hapa' pia ni ngoma kutoka kwa Mbosso inayopatikana kwenye EP yake ya 'Khan'. Ni ngoma ya kwanza kabisa kwenye EP na ina ladha fulani ya miondoko ya mduara. Inapendeza sana kupigwa kwenye sherehe hususani harusi.

Huyu Hapa

4. Kwikwi - Zuchu

Boom Top | Ngoma 10 kali kati ya 100 bora zilizofanya vizuri Boomplay wiki hii hizi hapa!

Ngoma hii kutoka kwa Zuchu Kwikwi ni ya Mapenzi ambayo Zuchu anaonesha ni kwa kiasi gani anampenda mpenzi wake huku akimsihi mpenzi wake huyo asimuache kwani anaogopa kuumbuka na kupata aibu mbele za watu.

Kwikwi

5. Champion ft. Nay Wa Mitego - Kontawa

Boom Top | Ngoma 10 kali kati ya 100 bora zilizofanya vizuri Boomplay wiki hii hizi hapa!

Ngoma hii kali kutoka kwa Kontawa ni kali na inazidi kudhihirisha ubora wake kadri siku zinavyozidi kwenda. 'Champion' ni ngoma fulani ya kutia moyo inayoelezea mapambano ya maisha. Uwepo wa Nay Wa Mitego umezidi kuongeza chachu ya wimbo huu kuwa bora zaidi. Sikiliza ngoma hii hapo chini.

Champion ft. Nay Wa Mitego

6. Cough (Odo) ft. Empire - Kizz Daniel

Boom Top | Ngoma 10 kali kati ya 100 bora zilizofanya vizuri Boomplay wiki hii hizi hapa!

Baada ya kutamba muda mrefu na ngoma yake Buga (Lo Lo Lo), ngoma nyingine ya Kizz Daniel 'Cough (Odo)' imeanza kutamba kwa kuingia kumi kumi bora ya 100 bora ndani ya app ya Boomplay.

Cough (Odo) ft. EMPIRE

7. Shetani ft. Costa Titch & Alfa Kat

Boom Top | Ngoma 10 kali kati ya 100 bora zilizofanya vizuri Boomplay wiki hii hizi hapa!

Ngoma hii ya Amapiano kutoka kwa Mbosso akiwashirikisha Costa Titch & Alfa Kat inapatikana kwenye albamu yake ya 'Khan'. Ni bonge moja la ngoma ambayo haichoshi kusikiliza muda wote.

Shetani ft. Costa Titch & Alfa Kat

8. Nakupenda - Jay Melody

Boom Top | Ngoma 10 kali kati ya 100 bora zilizofanya vizuri Boomplay wiki hii hizi hapa!

Ni ngoma kali kutoka kwa Jay Melody huku ikiwa ni miongoni mwa ngoma zinazochezwa sana kwa sasa kwenye majukwaa mbalimbali ya muziki. Imeendelea kufanya vizuri na kwa sasa imeshika nafasi ya sita kutoka nafasi ya tano wiki iliyopita.

Nakupenda

9. Champion Remix ft. Harmonize - Kontawa

Boom Top | Ngoma 10 kali kati ya 100 bora zilizofanya vizuri Boomplay wiki hii hizi hapa!

Baada ya ngoma yake 'Champion' aliyofanya na Nay Wa Mitego kufanya vizuri sana, Champion Remix ft. Harmonize nayo imepokelewa vizuri na hatimaye imeingia kumi bora. Endelea kusikiliza ngoma hii kwa uzuri kabisa kupitia Boomplay hapo chini.

Champion Remix ft. Harmonize

10. Rush - Ayra Starr

Boom Top | Ngoma 10 kali kati ya 100 bora zilizofanya vizuri Boomplay wiki hii hizi hapa!

Kwa mara ya kwanza, ngoma hii iliingia kumi bora wiki tatu zilizopita. Ni ngoma kali kutoka kwa Ayra Starr ambayo haichoshi kusikiliza. Endelea kusikiliza hapo chini.

Rush

Wimbo gani umekuvutia kwenye orodha hii?

#BuzzBrandColumn #BoomTop #Music #Trending

Comments (4)

0/500

    New Comments4

    BerryNipeys

    Cool

    Nigeria

    rachel4jivk

    kiukwel huu wimbo unanifanya najixkia aman pale napokuwa cpo xaw

    Tanzania

    rachel4jivk

    [0x1f627][0x1f627][0x1f627]

    Tanzania

    rachel4jivk

    hii ngoma ni kali xna na ime2lia kixhenz

    Tanzania

    +

        -   or   -

        -   or   -

        NG +234

            Please Select A Playlist

            Add New Playlist

            Share on

            Embed: Love & Light EP

            Custom Size :

            • Default
            • Desktop(300*600)
            • Mobile(300*250)

            Type :

            • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
            Get Boomplay Premium
            for
            Payment Method
            Pay With
              Review and pay
              Order Date
              Payment Method
              Due Today
              Flutterwave
                Subscription Successful

                Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

                Now you have access to all the features of Boomplay App.
                Payment Failed

                Please check your balance and then try again.

                You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
                Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
                Payment Processing...
                10 s

                Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

                Payment Processing
                Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
                About Order Status