New Music | Rayvanny aja EP mpya 'Unplugged Session', nini maoni yako?
Rayvanny ameshusha tena kifurushi kipya baada ya kuachia EP yake ya 'Unplugged Session'.
Hii inakuwa EP ya nne kwa Rayvanny tangu aanze rasmi kutambulika kwenye muziki. EP nyingine ni 'Vanny Boy', 'Flowers' na 'Flowers II'.
'Unplugged Session EP' ina jumla ya ngoma 8 ambazo ni 'Mzuri', 'I Love You', 'Mtoto', 'Nateswa', 'Mwamba', 'Mama', 'Vacation' pamoja na 'Nipigie'. Kwenye 'Unplugged Session EP', Rayvanny amemshirikisha msanii mmoja pekee ambaye ni Fari by Dar Kid.
Ngoma gani unaikubali zaidi kwenye EP hii? Bofya hapo chini kusikiliza 'Unplugged Session EP' kupitia Boomplay:
#Rayvanny #Music #UnpluggedSession'
Comments (3)
New Comments(3)
Jonathan Piusffjlk
fulohbreezy
nice
Fidelis Welwel
Vipi kuhusu New Chui au ile sio EP?
unyama chui[0x1f630]