Loading...

Download

Boom Discoveries | Huyu ndiyo Lody Music, msanii anayeendelea kudhihirisha umahiri wake

Boom Discoveries | Huyu ndiyo Lody Music, msanii anayeendelea kudhihirisha umahiri wake

Lody Music, ni miongoni mwa majina ya wasanii chipukizi ambao wameendelea kuaminiwa sana mashabiki wa muziki nchini Tanzania.

Lody Music ni moja ya wasanii wa Bongo Fleva ambao wamebahatika kupata idadi kubwa ya mashabiki ndani ya muda mfupi tangu atambulike rasmi.


Tayari amefanikiwa kutoa ngoma nyingi ambazo, si haba zimeedelea kuwa kivutio kwa wapenzi wengi wa muziki kama si wote hususani wale wa nyimbo za mapenzi.


'Kubali' ndiyo wimbo ambao ulimtambulisha kwa ukubwa sana katika tasnia ya muziki nchini Tanzania. Wimbo huu uliipendwa na zaidi ya hapo kuwatoa machozi wale walioonekana kutendwa katika mahusiano yao.

Boom Discoveries | Huyu ndiyo Lody Music, msanii anayeendelea kudhihirisha umahiri wake

Kama inavyojulikana mapenzi yameteka sehemu kubwa ya maisha ya binadamu, na pengine kila siku watu hupitia maumivu makubwa kutokana na misukosuko mbalimbali inayotokana na mapenzi.


Sasa wimbo wake wa 'Kubali' umeelezea namna ambavyo unapaswa kukubali inapotokea umekumbana na misukosuko ya mapenzi, kwani kama uliyenayo haoni thamani yako basi yuko mtu mwingine nje ya penzi ulilonalo sasa ambaye anaweza kujua thamani yako kwa ukubwa kabisa.


Kuna nyakati kadhaa ambapo wimbo huu umekuwa ukichezwa, huku watu wakijikuta wakidondosha machozi kutokana na maudhui yaliyomo ndani yake.


Mbali na 'Kubali', Lody Music ameachia ngoma nyingine nyingi kama vile 'Naenjoy', 'Hachuji', 'Dear Ex', 'Sweet Love', 'Love Revolution', 'Doreen', 'Promise', 'Only You', 'Vibaya' na nyinginezo.

Boom Discoveries | Huyu ndiyo Lody Music, msanii anayeendelea kudhihirisha umahiri wake

Mpaka sasa Lody Music amefanikiwa kupata jumla ya streams milioni 10, huku wimbo wa 'Kubali' ukiwa na streams milioni 4.4 na kuwa wimbo ambao umesikilizwa zaidi kati ya nyimbo zake zote zinazopatikana Boomplay.


Nini mtazamo wako kuhusu Lody Music? Endelea kusikiliza ngoma yake ya Kubali hapo chini kupitia Boomplay

Kubali

#BoomDiscoveries #BuzzBrandColumn #Music #LodyMusic #Trending

Comments (1)

0/500

    New Comments1

    teeeee92wkm

    huyu jamaa ni super good[0x1f618][0x1f618][0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f]

    Tanzania

    +

        -   or   -

        -   or   -

        NG +234

            Please Select A Playlist

            Add New Playlist

            Share on

            Embed: Love & Light EP

            Custom Size :

            • Default
            • Desktop(300*600)
            • Mobile(300*250)

            Type :

            • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
            Get Boomplay Premium
            for
            Payment Method
            Pay With
              Review and pay
              Order Date
              Payment Method
              Due Today
              Flutterwave
                Subscription Successful

                Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

                Now you have access to all the features of Boomplay App.
                Payment Failed

                Please check your balance and then try again.

                You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
                Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
                Payment Processing...
                10 s

                Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

                Payment Processing
                Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
                About Order Status