Loading...

Download

Boom Milestone | Diamond Platnumz afikisha zaidi ya streams milioni 200 Boomplay

Boom Milestone | Diamond Platnumz afikisha zaidi ya streams milioni 200 Boomplay

Diamond Platnumz anazidi kudhihirisha kuwa ni msanii mkubwa zaidi Afrika Mashariki baada ya kufanikiwa kufikisha zaidi ya streams milioni 200 ndani ya app ya Boomplay.


Anakuwa msanii wa kwanza Afrika Mashariki kufikia mafanikio haya. Kasi ya nyimbo zake kusikilizwa imezidi kuwa kubwa sana Afrika na duniani kwa ujumla. Ikumbukwe alikuwa msanii wa pili Afrika Mashariki kufikisha streams milioni 100 nyuma ya Rayvanny.


Kwa mujibu wa Boomplay, Idadi hii ya streams inaitwa #GoldenClub


Idadi hii ni mchanganyiko wa ngoma zake zote tangu alivyoanza kufanya muziki mpaka sasa ikijumuisha albamu pamoja na EP yake mpya ya 'FOA'.

Boom Milestone | Diamond Platnumz afikisha zaidi ya streams milioni 200 Boomplay

Wanapotajwa wasanii wakubwa watano barani Afrika kwa sasa, si rahisi jina la Diamond Platnumz kutokuwepo kwenye orodha. Amefanikiwa kutoa ngoma mbalimbali kali zikiwa na kolabo za ndani na nje Tanzania na Afrika kwa jumla. Katika idadi hiyo ya streams ambazo ameipata, kuna ngoma ambazo zimepata streams nyingi zaidi na kuwa chachu ya kufikisha streams milioni 100.


Baadhi ya nyimbo zake ambazo zimempa streams nyingi zaidi ndani ya Boomplay ni 'Gidi' wenye streams 7.1, 'Unachezaje' (streams milioni 4.6), 'Gimmie' (streams milioni 6.9), 'Naanzaje (streams milioni 15.3), 'IYO' (streams milioni 6.2), 'Waah! (streams milioni 6.5) 'Haunisumbui' (streams milioni 6.2) na nyinginezo.


Mbali na ngoma moja moja pia albamu na EP zake zimempa streams nyingi sana. 'First Of All (FOA) mpaka sasa ina streams milioni 78.9, 'A Boy From Tandale ina streams milioni 12.4'. Hii ni kwa uchache tu.

Boom Milestone | Diamond Platnumz afikisha zaidi ya streams milioni 200 Boomplay

Idadi hii ya streams inamfanya Diamond Platnumz kuungana na baadhi ya wasanii kutoka Nigeria kama vile Burna Boy, Wizikid, Davido, Joeboy, Omah Lay, Fireboy na wengineo.


Project ya mwisho kabisa ya Diamond Platnumz mpaka sasa ni 'First Of All (Acoustic)' ambayo mpaka sasa imefanikiwa kupata streams milioni 2.9 katika app ya Boomplay.


Endelea kusikiliza 'First Of All (Acoustic)' kutoka kwa Diamond Platnumz kupitia Boomplay hapo chini;

First Of All (Acoustic)

#BuzzBrandColumn #BoomMilestone #DiamondPlatnumz #BoomplayGoldenClub

Comments (25)

0/500

    Top Comments (2)

    Mimahcute

    sisi tunakupenda sana diamond platnamz kwetu wew ndie dalaja lakufanikiwa unatupa mafunzo nakutuwek imala songa mbele my bro sisi nyuma yako>

    Tanzania

    hustlerif387

    holla at yah boy from Tandale ❤️>

    Tanzania

    New Comments25

    saidy prince suddy

    WCB nguvu moja

    Image | Boomplay Music
    Tanzania

    mamumxuvd

    ana baya

    Tanzania

    Ibrahim Munis5x0m6

    God bless you

    Tanzania

    nelson prudence2tq7g

    ss tunakulove bigup we pray to you ufanye collable na card b

    Tanzania

    nelson prudence2tq7g

    good god bless you

    Tanzania

    mammamxy8yr

    [0x1f63f][0x1f63f]

    Tanzania

    mammamxy8yr

    simba moto wakukaa nao mbali

    Tanzania

    mudy babyy6mr1

    nakubalii dangote ama ww ni tanzania on

    Tanzania

    Jah60

    big up my brother

    Tanzania

    Ramadhan Omary2rxsn

    hakuna kipingamizi ww kuwa ni moja ya wasanii watajwao ni bora africa na umeshika nafasi hy hongera kaka

    Tanzania

    Ramseyvo9hu

    ana boost huyo hana chchte

    Tanzania

    Denoz_official

    [0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f]

    Tanzania

    +

        -   or   -

        -   or   -

        NG +234

            Please Select A Playlist

            Add New Playlist

            Share on

            Embed: Love & Light EP

            Custom Size :

            • Default
            • Desktop(300*600)
            • Mobile(300*250)

            Type :

            • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
            Get Boomplay Premium
            for
            Payment Method
            Pay With
              Review and pay
              Order Date
              Payment Method
              Due Today
              Flutterwave
                Subscription Successful

                Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

                Now you have access to all the features of Boomplay App.
                Payment Failed

                Please check your balance and then try again.

                You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
                Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
                Payment Processing...
                10 s

                Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

                Payment Processing
                Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
                About Order Status