Loading...

Download

Boom Discoveries | Ngoma ya Kontawa 'Champion ft. Nay Wa Mitego' yazidi kufanya vizuri Boomplay


Kontawa, ni miongoni mwa majina ambayo kwa sasa yanasifika kwenye tasnia ya muziki Tanzania.


Ni kijana ambaye amejipambanua namna ambavyo ameujenga muziki wake na kusikilizwa na kila mtu kutokana na jinsi anavyoyatengeneza maudhui yake.


'Champion' ngoma ambayo amemshirikisha Nay Wa Mitego inatamba kwa sasa katika vyomba vya habari na majukwaa mengine ya muziki. Mpaka sasa ngoma hii imefikisha streams milioni 1.5 kwenye app ya Boomplay.


Umahiri wa ngoma hii umetokana na jinsi alivyoyasuka maudhui yake na kukubalika na wapenda muziki hususani wale ambao wanaendelea kupambana katika harakati za kusaka maisha bora kila jua linavyochomoza na kuzama.

Boom Discoveries | Ngoma ya Kontawa 'Champion ft. Nay Wa Mitego' yazidi kufanya vizuri Boomplay

'Champion ft. Nay Wa Mitego' inaelezea namna ambavyo mapambano yanavyoanzia chini mpaka mtu kufanikiwa.


Hii ni sehemu ya mashairi ya wimbo huu: "Oya mitaa niliYotoka police wanauza Gongo, Hata uwe mkweli huwezi ishi bila uwongo, Mlo mmoja na bado tulibeba nondo na maisha yakasonga tu eeh Ili sabuni zisiishe tulinyoa madongo, tukala maharage hadi tukacheza juu ya nondo...."


Uhodari wa ngoma hii ukamfanya Kontawa kuachia 'Champion' nyingine akimshirikisha Harmonize.

Boom Discoveries | Ngoma ya Kontawa 'Champion ft. Nay Wa Mitego' yazidi kufanya vizuri Boomplay

Ngoma hii unaipa asilimia ngapi kwa mashairi yake? Endelea kusikiliza 'Champion ft. Nay Wa Mitego' hapo chini kupitia Boomplay.

Champion ft. Nay Wa Mitego

#BuzzBrandColumn #BoomDiscoveries #Music #Kontawa #Champion

Comments (7)

0/500

    New Comments7

    jay z official

    [0x1f601][0x1f601]

    Tanzania

    BerryNipeys

    Nice

    Nigeria

    ommy de OK

    oyoo,kontawa naonaumetukumbuka machampion ww na rais wa kitaa..machapion tupooo..

    Tanzania

    Gman Kajad Official

    ${href0}

    Ghana

    Barton Fredrickrkc0d

    Mitaa aliyotoka ni kama mitaa niliyoitokea tumenyoa madongo sana [0x1f602][0x1f602] sema mnyama katishaa kinoma noma[0x1f627][0x1f627][0x1f636][0x1f636] @kontawa # Champion

    Tanzania

    chadaev9eo

    à⁰

    Tanzania

    kilele4real Tz

    mwana anajua sana huyu na ndio wakati wake huu

    Tanzania

    +

        -   or   -

        -   or   -

        NG +234

            Please Select A Playlist

            Add New Playlist

            Share on

            Embed: Love & Light EP

            Custom Size :

            • Default
            • Desktop(300*600)
            • Mobile(300*250)

            Type :

            • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
            Get Boomplay Premium
            for
            Payment Method
            Pay With
              Review and pay
              Order Date
              Payment Method
              Due Today
              Flutterwave
                Subscription Successful

                Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

                Now you have access to all the features of Boomplay App.
                Payment Failed

                Please check your balance and then try again.

                You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
                Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
                Payment Processing...
                10 s

                Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

                Payment Processing
                Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
                About Order Status