Loading...

Download

Boom Fresh | Ngoma zilizoachiwa wiki hii na zipo Boomplay hizi hapa

Boom Fresh | Ngoma zilizoachiwa wiki hii na zipo Boomplay hizi hapa

Leo ni Ijumaa ya murua kabisa, siku ambayo huwa tunakusogezea ngoma ambazo zimeachia wiki nzima kwaajili ya kukukumbusha kusikiliza ngoma hizo endapo utakuwa umepitwa kutokana na shughuli mbalimbali za kila siku.


Wiki hii tumeshuhudia wasanii wakiachia ngoma mbalimbali. Wasanii hao ni Rayvanny (Nitongoze ft Diamond Platnumz), Young Lunya(Simu), Phina (Hayaa), Paul Clement (Mema), Seneta Worldwide (Nana), Haitham Kim (Ex Mtamu), Malkia Karen (Jinadi), Hamadai (Mususu).


Rayvanny - Nitongoze

Boom Fresh | Ngoma zilizoachiwa wiki hii na zipo Boomplay hizi hapa

Raymond Shaban Mwakyusa, maarufu kama Rayvanny ambaye amewahi kuwa chini ya record label ya WCB Wasafi, amerejea na wimbo mpya unaoitwa 'Nitongoze'. Katika ngoma hii kali, Rayvanny amemshirikisha Diamond Platnumz, ambaye ni staa mkubwa wa muziki Tanzania na Afrika akiongoza lebo ya WCB Wasafi.


'Nikutongoze' ni ngoma yenye vionjo vya muziki wa Amapiano na kwa hakika, Rayvanny ameitendea haki na zaidi uwepo wa Diamond Platnumz umefanya ngoma kuwa bora zaidi.

Nitongoze ft. Diamond Platnumz

Young Lunya - Simu

Boom Fresh | Ngoma zilizoachiwa wiki hii na zipo Boomplay hizi hapa

Msanii wa muziki anayetamba na miondoko ya Trap, Young Lunya amerejea tena kuwapa burudani mashabiki zake kwa kuachia ngoma mpya ya 'Simu'. Hii ni moja ya ngoma kali ambazo Young Lunya amewahi kuachia.


Sikiliza ngoma 'Simu' hapo chini kupitia Boomplay.

Simu

Phina - Hayaa

Boom Fresh | Ngoma zilizoachiwa wiki hii na zipo Boomplay hizi hapa

Mwanadada aliyebarikiwa sauti nzuri na ya kuvutia, Phina ameachia wimbo wake mpya ujulikanao kwa jina la 'Hayaa'. Ni ngoma kali ambayo kama ulisikiliza ngoma yake ya 'Nipo Nyonyo' basi huwezi kutofautisha sana.


Inachezeka na ina vibe kubwa sana. Hakika Phina ameendelea kuuthibitishia umma kuwa habahatishi kuanzia kwenye ngoma zake zilizopita.

Hayaa

Seneta Worldwide - Nana

Boom Fresh | Ngoma zilizoachiwa wiki hii na zipo Boomplay hizi hapa

'Nana' ndiyo wimbo mpya kutoka kwa Seneta Worldwide. Ni ngoma nzuri ambayo kwa mtu yeyote mwenye sikio la muziki hawezi kuichukulia poa. Sikiliza 'Nana' hapo chini kupitia Boomplay.

Nana

Haitham Kim - Ex Mtamu

Boom Fresh | Ngoma zilizoachiwa wiki hii na zipo Boomplay hizi hapa

Mwanadada mrembo Haitham Kim ameleta ngoma mpya inafahamika kwa jina la 'Ex Mtamu'. Ni wimbo wa mapenzi huu ambao unazungumzia utamu wa mpenzi wa zamani. Sikiliza wimbo huu hapo chini kupitia Boomplay.

Ex Mtamu ft. D Voice

Malkia Karen - Jinadi

Boom Fresh | Ngoma zilizoachiwa wiki hii na zipo Boomplay hizi hapa

Malkia Karen amewabariki mashabiki zake na ngoma mpya aliyopipa jina la 'Jinadi'. Ni ngoma yake mpya ambayo ni kama vile anafungia mwaka 2022. Inawezekana akaachia ngoma nyingine lakini 'Jinadi' hakika ni ngoma kali sana akimshirikisha Country Wizzy, mkali wa muziki wa rap.

Jinadi ft. Country Wizzy

Hamadai - Mususu

Boom Fresh | Ngoma zilizoachiwa wiki hii na zipo Boomplay hizi hapa

Mkali aliyebarikiwa sauti mahiri sana ya muziki, Hamadai amekuja na ngoma kali 'Masusu'. Sikiliza ngoma hii hapo chini.

Mususu

Ni ngoma gani imekuvutia zaidi kati ya hizi?


#BuzzBrandColumn #BoomFresh #Music #Trending

Comments (70)

0/500

    Top Comments (1)

    Promise Nov9wp

    sim >

    Tanzania

    New Comments70

    fadhilae22y8

    nitongoze[0x1f630][0x1f630]

    Tanzania

    makdone due Tz

    vitamin music

    Tanzania

    ayubu Chares

    damondi

    Tanzania

    saidp8no9

    asssssse hampoi humu

    Tanzania

    Mtoto Fikirini

    ❤❤❤❤❤simu

    Tanzania

    Irene Urban

    nitongoze [0x1f618][0x1f618]

    Tanzania

    ayubu Chares

    come

    Tanzania

    ayubu Chares

    reivan

    Tanzania

    japhet onesimo6ee48

    simu from young lunya

    Tanzania

    zebidap0iln

    nitongoze by rayvanny

    Tanzania

    Mzukivanny007

    Simu

    Tanzania

    Erick Mrossoeq2k0

    vannny bwayyyy

    Tanzania

    +

        -   or   -

        -   or   -

        NG +234

            Please Select A Playlist

            Add New Playlist

            Share on

            Embed: Love & Light EP

            Custom Size :

            • Default
            • Desktop(300*600)
            • Mobile(300*250)

            Type :

            • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
            Get Boomplay Premium
            for
            Payment Method
            Pay With
              Review and pay
              Order Date
              Payment Method
              Due Today
              Flutterwave
                Subscription Successful

                Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

                Now you have access to all the features of Boomplay App.
                Payment Failed

                Please check your balance and then try again.

                You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
                Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
                Payment Processing...
                10 s

                Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

                Payment Processing
                Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
                About Order Status