Loading...

Download

Boom Focus | Tunamtaza Young Lunya

Boom Focus | Tunamtaza Young Lunya

Tanzania ni moja ya nchi ambazo zimejaaliwa wasanii wengi wenye vipaji vikubwa vya kuimba, kurap na kadhalika. Tangu enzi za wakongwe kina Marijan Rajab, Mbaraka Mwinshehe, Hemed Maneti mpaka kizazi cha sasa, bado wanauwasha moto vilivyo.


Kwenye miondoko ya Hip Hop kumekuwa na wasanii bora kizazi na kizazi. Tumeshuhudia kizazi cha kina Joseph Mbilinyi 'Mr II' au Sugu, Professor J, Mwana FA, AY, Fid, Mr Blue, Chidi Benz na wengine wengi.


Kumeibuka tena kizazi kingine cha kina Country Boy, Young Killer, Young Lunya na wengine kadha wa kadha. Na leo tumemzungumzia Young Lunya.

Boom Focus | Tunamtaza Young Lunya

Pamoja na kuwa na marapa wakali wengi kwenye kizazi cha sasa, rapa Young Lunya ameonesha kuna kitu anacho. Huyu ni msanii ambaye kipaji chake kilianza kunawiri tangu wakati yuko kwenye kundi la OMG ambalo lilikuwa likiuundwa na wasanii watatu ambao ni Salmin Swaggz, Conboi na Young Lunya mwenyewe.


Umahiri wake ukajizidi kudhihirika zaidi baada ya kuanza kutoa kazi zake kama 'Solo Artist'. Young Lunya ana flows, skills, punch na kadhalika. Zaidi ya hapo ni mwandishi mzuri na pia anaweza kuimba ka umahiri wa hali ya juu sana.


Ingawa bado ana mengi zaidi ya kuendelea kuthibitisha kwa umma, bado si vibaya kumpa sifa zake ili azidi kuimarika kadri siku zinavyozidi kwenda na baadaye aje kuwa moja ya magwiji wa muziki. Kuna baadhi ya watu wameshawahi kudiriki kumfananisha na wakali kama Meek Mill au T.I yule wa Live Your Life au mtu mzima Kendrick Lamar na albamu yake ya DNA.

Boom Focus | Tunamtaza Young Lunya

Tayari ameshafanya ngoma kadhaa kali na nyingine akishirikishwa na kufanya vizuri sana. Ngoma ambazo mpaka amefanya ni Tikisa, Freestye session 1, 2 na 3, Mbuzi, Fimbo, Announcement, Moto na nyinginezo.


Kwa sasa Young Lunya yuko chini ya lebo kubwa ya muziki ya Sony Music Entertainment akisimamiwa kazi zake kwa viwango vya juu kabisa. Young Lunya ni miongoni mwa wasanii wanaoakisi mapambano halisi kuanzia 'hamna kitu mpaka kuwa na kitu'.


Sikiliza ngoma yake 'Vitu Vingi' ambayo ndiyo ya mwisho kuachia mpaka sasa.


Nini mtazamo wako kuhusu rapa huyu?

Vitu Vingi

#BuzzBrandColumn #BoomFocus #Music #Trending #YoungLunya

Comments (34)

0/500

    New Comments34

    zerah hussy

    namkuali sana rapper young lunya ni moto wa kuotea mbali [0x1f630]

    Tanzania

    Ghanty Akouèwa

    Image | Boomplay Music
    Benin

    Ghanty Akouèwa

    Testimony of Master Mr Ganty Akouèwa :+229 56 02 05 91 The truth is dûre to believe nowadays but I advise you for everything is worth the problem of life ☻, households, work where health return of affection even to multiply your money ↩️ justice problem. WhatsApp : +229 56 02 05 91

    Benin

    Joshua Jacobgfp0w

    naqubal sana [0x1f630][0x1f630]

    Tanzania

    johanes kipande

    iko waz mbuz anajua

    Tanzania

    brownr28hw

    anajuh san uyu jamaa

    Tanzania

    Young Teflon P1 9th

    wa motrooo ...! [0x2600][0x26a1] ... [0x1f60d]

    Tanzania

    Izsack Enock

    rap trap boy

    Tanzania

    khanamaneno@gmail.com

    cmkubal huyu hata chembe

    Tanzania

    Manray George

    Oooh my[0x1f41c]

    Tanzania

    mwandembwejoseph

    namkubaki .mwamba uyo

    Tanzania

    +

        -   or   -

        -   or   -

        NG +234

            Please Select A Playlist

            Add New Playlist

            Share on

            Embed: Love & Light EP

            Custom Size :

            • Default
            • Desktop(300*600)
            • Mobile(300*250)

            Type :

            • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
            Get Boomplay Premium
            for
            Payment Method
            Pay With
              Review and pay
              Order Date
              Payment Method
              Due Today
              Flutterwave
                Subscription Successful

                Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

                Now you have access to all the features of Boomplay App.
                Payment Failed

                Please check your balance and then try again.

                You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
                Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
                Payment Processing...
                10 s

                Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

                Payment Processing
                Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
                About Order Status