Loading...

Download

Boom Discoveries | Tunamtaza Vanillah kutoka Kings Music

Vanillah ndiyo jina ambalo linatamba kwa sasa miongoni mwa wasanii wanaochipukia katika tasnia ya muziki nchini Tanzania.


Huyu ni msanii mpya ambaye hivi karibuni alitangazwa kusainiwa na lebo ya Kings Music iliyopo chini ya gwiji wa muziki wa Bongo Fleva, Alikiba.


Ujio wake umeshtua watu wengi kutokana na kuanza kwa kishindo kikubwa baada ya kuachia EP yake inayofahamika kwa jina la 'Listen To Me' yenye jumla ya ngoma sita za moto. Historia ya Vanillah ambaye jina lake halisi ni Fanuel Fabian Peter imeanzia jijini Mwanza ambapo ndipo alipozaliwa, kukulia na kuanza harakati zote za muziki.

Boom Discoveries | Tunamtaza Vanillah kutoka Kings Music

Safari yake ya muziki ilianza mwaka 2012 wakati akiwa shuleni ambapo alikuwa akiimba cover za nyimbo za wasanii mbalimbali na baada ya kumaliza shule akaanza kupambana rasmi kufanya ngoma zake mwenye na hatimaye kufanikiwa kutoa ngoma yake ya kwanza kabisa akiwa msanii anayejitegemea mwaka 2019.


Baadaye aliamua kufanya safari ya kwenda Dar es Salaam kwaajili ya kupanua fursa zaidi na ndipo safari yake ya kujiunga na Kings Music ilipoanzia baada ya mtayarishaji mahiri na maarufu Yogo Beats ambaye alikuwa akifanya naye kazi kuvutiwa na kumpeleka kwa Alikiba kushiriki katika moja ya ngoma zake zilizopo kwenye albamu ya Only One King.


Ngoma ambayo alishiriki kuiandaa ni 'UTU' ambayo ndiyo ngoma pendwa zaidi kwenye albamu ya Only One King ya Alikiba.

Boom Discoveries | Tunamtaza Vanillah kutoka Kings Music

Kwa sasa EP ya Vanillah 'Listen To Me' imefanikiwa kufikisha zaidi ya streams 200k kwenye app ya Boomplay. Endelea kusikiliza 'Listen To Me' ya Vanillah hapo chini kupitia Boomplay.

LISTEN TO ME

#BuzzBrandColumn #BoomDiscoveries #Music #Vanillah #ListenToMe

Comments (3)

0/500

    New Comments3

    nelo bvr5zj

    anaupiga mwingi japo promotion kwnye rebo yake ipo chini sana

    Tanzania

    Musa Mgalla

    janja yuko poa sana namsapoti akaze tu mziki wa saivi siyo simpo sana kama nyuma au zaman

    Tanzania

    Johnbaba255

    sounds good

    Tanzania

    +

        -   or   -

        -   or   -

        NG +234

            Please Select A Playlist

            Add New Playlist

            Share on

            Embed: Love & Light EP

            Custom Size :

            • Default
            • Desktop(300*600)
            • Mobile(300*250)

            Type :

            • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
            Get Boomplay Premium
            for
            Payment Method
            Pay With
              Review and pay
              Order Date
              Payment Method
              Due Today
              Flutterwave
                Subscription Successful

                Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

                Now you have access to all the features of Boomplay App.
                Payment Failed

                Please check your balance and then try again.

                You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
                Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
                Payment Processing...
                10 s

                Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

                Payment Processing
                Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
                About Order Status