Loading...

Download

Boom Top | Hizi ndizo ngoma kali 10 ambazo zimetamba Boomplay wiki iliyopita

Boom Top | Hizi ndizo ngoma kali 10 ambazo zimetamba Boomplay wiki iliyopitaLeo ni Jumatatu murua, siku ambayo tunamulika ngoma ambazo zimefanya vizuri ndani ya orodha ya ngoma 100 wiki iliyopita.


Katika kuhakikisha hili linakwenda vizuri, tunakusogezea ngoma 10 ambazo zimeongoza kwenye chati wiki iliyopita.

1. Yataniua ft. Diamond Platnumz - Mbosso

Boom Top | Hizi ndizo ngoma kali 10 ambazo zimetamba Boomplay wiki iliyopita

Yataniua ni ngoma ambayo inapatikana kwenye EP mpya ya Mbosso inayojulikana kwa jina la Khan. Ngoma hii yenye mahadhi ya Amapiano ni kali sana na amemshirikisha Diamond Platnumz.

Yataniua ft. Diamond Platnumz

2. Huyu Hapa

Boom Top | Hizi ndizo ngoma kali 10 ambazo zimetamba Boomplay wiki iliyopita

'Huyu Hapa' pia ni ngoma kutoka kwa Mbosso inayopatikana kwenye EP yake ya 'Khan'. Ni ngoma ya kwanza kabisa kwenye EP na ina ladha fulani ya miondoko ya mduara. Inapendeza sana kupigwa kwenye sherehe hususani harusi.

Huyu Hapa

3. Kwikwi - Zuchu

Boom Top | Hizi ndizo ngoma kali 10 ambazo zimetamba Boomplay wiki iliyopita

Ngoma hii kutoka kwa Zuchu Kwikwi ni ya Mapenzi ambayo Zuchu anaonesha ni kwa kiasi gani anampenda mpenzi wake huku akimsihi mpenzi wake huyo asimuache kwani anaogopa kuumbuka na kupata aibu mbele za watu.

Kwikwi

4. Shetani ft. Costa Titch & Alfa Kat

Boom Top | Hizi ndizo ngoma kali 10 ambazo zimetamba Boomplay wiki iliyopita

Ngoma hii ya Amapioano kutoka kwa Mbosso akiwashirikisha Costa Titch & Alfa Kat inapatikana kwenye albamu yake ya 'Khan'. Ni bonge moja la ngoma ambayo haichoshi kusikiliza muda wote.

Shetani ft. Costa Titch & Alfa Kat

5. Nakupenda - Jay Melody

Boom Top | Hizi ndizo ngoma kali 10 ambazo zimetamba Boomplay wiki iliyopita

Ni ngoma kali kutoka kwa Jay Melody huku ikiwa ni miongoni mwa ngoma zinazochezwa sana kwa sasa kwenye majukwaa mbalimbali ya muziki. Imeendelea kufanya vizuri na kwa sasa imeshika nafasi ya tano kutoka nafasi ya pili wiki iliyopita.

Nakupenda

6. Cough (Odo) ft. Empire - Kizz Daniel

Boom Top | Hizi ndizo ngoma kali 10 ambazo zimetamba Boomplay wiki iliyopita

Baada ya kutamba muda mrefu na ngoma yake Buga (Lo Lo Lo), ngma nyingine ya Kizz Daniel 'Cough (Odo)' imeanza kutamba kwa kuingia kumi kumi bora ya 100 bora ndani ya app ya Boomplay.

Cough (Odo) ft. EMPIRE

7. Assalaam ft. Mohammed Almanji

Boom Top | Hizi ndizo ngoma kali 10 ambazo zimetamba Boomplay wiki iliyopita

Ni ngoma kutoka kwenye EP ya Mbosso. Ngoma hii imetengenezwa kwa miondoko ya kiarabu na ndiyo sababu ya uwepo wa Mohammed Almanji ambaye amenogesha sana ngoma hii.

Assalaam ft. Mohammed Almanji

8. Pole ft. Ruby

Boom Top | Hizi ndizo ngoma kali 10 ambazo zimetamba Boomplay wiki iliyopita

Ngoma hii ambayo amemshirikisha mwanadada mahiri na mwenye sauti ya kipekee, Ruby imefanikiwa kushika nafasi ya nane. Hii ni moja ya ngoma kali kutoka kwenye albamu hii.

Pole ft. Ruby

9. Zuchu - Love ft Adekunle Gold

Boom Top | Hizi ndizo ngoma kali 10 ambazo zimetamba Boomplay wiki iliyopita

Ni ngoma mpya na kali kutoka kwa Zuchu ambayo wiki hii imeshika nafasi ya tisa. Ni ngoma kali ya mapenzi ambayo Zuchu amemshirikisha staa kutoka Nigeria, Adekunle Gold.

Love ft. Adekunle Gold

7. Rush - Ayra Starr

Boom Top | Hizi ndizo ngoma kali 10 ambazo zimetamba Boomplay wiki iliyopita

Kwa mara ya kwanza, ngoma hii iliingia kumi bora wiki tatu zilizopita. Ni ngoma kali kutoka kwa Ayra Starr ambayo haichoshi kusikiliza. Endelea kusikiliza hapo chini.

Rush

Wimbo gani umekuvutia kwenye orodha hii?

#BuzzBrandColumn #BoomTop #Music #Trending

Comments (47)

0/500

    New Comments47

    Godfrey Daudignarj

    Ni shida

    Tanzania

    Ester Johnzwt9y

    @J_Gemßo:

    wee kun anay mweza tn mbosso jamaaa au izo kik tuu

    J_Gemßo:

    huo ni uongo saut ya watu mnaijua au mnasema tuuu

    Tanzania

    @DeejayToxic3

    Hii COUGH ya Kizz Daniel imekuwa tishio kubwa mtaani

    Tanzania

    Ibrahim Felixe32ue

    ibrahimfelix46@gmail.com namkubali mbosso na mondi

    Tanzania

    diraxjwayj

    mbona konde ayupo jamn

    Tanzania

    totoo2ugx2

    ♥️

    Tanzania

    fredy14

    iko vere

    Tanzania

    Veronica Buyanza

    wote wakarii

    Tanzania

    masalu1f3b6

    music

    Tanzania

    laxy lee

    ngoma kali xanaaah

    Tanzania

    Happy Haroun

    Sawa

    Tanzania

    +

        -   or   -

        -   or   -

        NG +234

            Please Select A Playlist

            Add New Playlist

            Share on

            Embed: Love & Light EP

            Custom Size :

            • Default
            • Desktop(300*600)
            • Mobile(300*250)

            Type :

            • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
            Get Boomplay Premium
            for
            Payment Method
            Pay With
              Review and pay
              Order Date
              Payment Method
              Due Today
              Flutterwave
                Subscription Successful

                Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

                Now you have access to all the features of Boomplay App.
                Payment Failed

                Please check your balance and then try again.

                You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
                Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
                Payment Processing...
                10 s

                Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

                Payment Processing
                Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
                About Order Status