Loading...

Download

Boom Fresh | Hizi ndizo ngoma ambazo zimeachiwa na zinapatikana Boomplay wiki hii

Boom Fresh | Hizi ndizo ngoma ambazo zimeachiwa na zinapatikana Boomplay wiki hii

Leo ni Ijumaa ya murua kabisa, siku ambayo huwa tunakusogezea ngoma ambazo zimeachia wiki nzima kwaajili ya kukukumbusha kusikiliza ngoma hizo endapo utakuwa umepitwa kutokana na shughuli mbalimbali za kila siku.


Wiki hii tumeshuhudia wasanii wakiachia ngoma mbalimbali. Wasanii hao ni Ommy Dimpoz (Dedication Album), Nay Wa Mitego (Sauti Ya Watu), Hemedy PHD (Carolina), Nuh Mziwanda (Penzi Jipya), Drimo (Bongo Pop Vol 1 EP).


Ommy Dimpoz - Dedication

Boom Fresh | Hizi ndizo ngoma ambazo zimeachiwa na zinapatikana Boomplay wiki hii

Staa wa Bongo Fleva, Ommy Dimpoz ameachia albamu yake ya kwanza 'Dedication' baada ya kupita muda mrefu bila kuachia project kubwa yoyote. 'Dedication' ni albamu yenye ngoma 15 zenye mchanganyiko wa ladha za muziki mbalimbali. Ngoma zilizomo kwenye albamu hii ni 'Birthday', 'Mon Babe', 'Hasara Roho', 'I Got You', 'Magdalene', 'Moyo', 'Mpela Mpela', 'My Woman', 'Wale Wale', 'Marry You', 'My Queen', 'Ngolowane', 'Anaconda', 'Zekete' na 'Vacation'. Vile vile wasanii walioshirikishwa kwenye albamu hii ni Princess Nandy, Marioo, Musa Keys na DJ Maphorisa kutoka South Africa, Fally Ipupa kutoka DR Congo, na wengine wengi.

Dedication

Nay Wa Mitego - Sauti Ya Watu

Boom Fresh | Hizi ndizo ngoma ambazo zimeachiwa na zinapatikana Boomplay wiki hii

Rais Wa Kitaa, Nay Wa Mitego amerejea tena kwa mashabiki wake baada ya kuachia ngoma yake mpya 'Sauti Ya Watu'. Ngoma hii imekuja ikiwa imepita takribani miezi miwili tangu alipoachia albamu yake ya 'Rais Wa Kitaa'. 'Sauti Ya Watu' ni ngoma kali ambayo imejikita katika kuzungumzia changamoto mbalimbali wanazokabiliana wananchi hususani Watanzania.

Sauti Ya Watu

Hemedy PHD - Carolina

Boom Fresh | Hizi ndizo ngoma ambazo zimeachiwa na zinapatikana Boomplay wiki hii

Hemedy PHD amewakumbuka wafuasi wake baada ya kuja na ngoma mpya ambayo ameipa jina la 'Carolina' Remix akimshirikisha Ben Pol. Hii ni ngoma yake ya kwanza kwa mwaka huu wa 2022. Ni ngoma nzuri ambayo ni vizuri kuipitisha kwenye masikio yako.

Carolina Remix ft. Ben Pol

Nuh Mziwanda - Penzi Jipya

Boom Fresh | Hizi ndizo ngoma ambazo zimeachiwa na zinapatikana Boomplay wiki hii

'Penzi Jipya' ni ngoma mpya kutoka kwa Nuh Mziwanda. Ni ngoma yake ya tano kwa mwaka huu wa 2022. Sikiliza ngoma hii hapo chini kutoka Boomplay.

Penzi Jipya ft. Ucho & Muki Comando

Drimo - Bongo Pop Vol 1 EP

Boom Fresh | Hizi ndizo ngoma ambazo zimeachiwa na zinapatikana Boomplay wiki hii

Msanii chipukizi anayekuja vizuri, Drimo amedondosha EP yake mpya inayojulikana kwa jina la Bongo Pop Vol 1. 'Bongo Pop Vol 1' ni EP yenye ngoma nne ambazo ni 'Romeo & Juliet', 'Wapi', 'Mi Lover' pamoja na 'Nilewe'.

Bongo Pop Vol.1

#BuzzBrandColumn #BoomFresh #Music #Trending

Comments (40)

0/500

    New Comments40

    Angel Sangaxzzo5

    jamani mbona hauvumi hivi

    Italy

    dauddt1c8

    rais!!!

    Tanzania

    Thomas kingwaluye1kp

    nay wamitego sauti yawatu[0x1f627][0x1f608][0x1f621]

    Tanzania

    Ivan boyywn1p

    napend san

    Image | Boomplay Music
    Tanzania

    Ramadhani Mlanziqu1a1

    ngoma kali wako vizur big up all artist

    Tanzania

    149619931

    [0x1f608][0x1f608][0x1f608][0x1f608]mamb[0x1f627][0x1f627]

    Tanzania

    Ashery Wilbard

    bongo sie wanafiki tu yani full masifa hata kama mtu hajaweza mtampamba na kisha nae anabweteka kwamba anayaweza badala mmwambie ukweli dah! maie naomba nisiwe mnafika hakuna big up kwa nay tu wengine wakaze but

    Tanzania

    Mkw@bi offici@l

    raisi wa kitaa big up brother

    Tanzania

    hamisicostantine@gmail.c

    duhh! aisee wame tisha kinyama

    Tanzania

    Gif Ttyh9ffc

    Cool

    Nigeria

    George Gilayo

    sema huyu nay kaua kichizi kwa hili jiwe

    Image | Boomplay Music
    Tanzania

    iddywalocation

    Ngoma Zote Nikali Wenyewe wapambane tunawapenda Natunawaombea Wafike Mbali Kimuziki

    Image | Boomplay Music
    Tanzania

    +

        -   or   -

        -   or   -

        NG +234

            Please Select A Playlist

            Add New Playlist

            Share on

            Embed: Love & Light EP

            Custom Size :

            • Default
            • Desktop(300*600)
            • Mobile(300*250)

            Type :

            • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
            Get Boomplay Premium
            for
            Payment Method
            Pay With
              Review and pay
              Order Date
              Payment Method
              Due Today
              Flutterwave
                Subscription Successful

                Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

                Now you have access to all the features of Boomplay App.
                Payment Failed

                Please check your balance and then try again.

                You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
                Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
                Payment Processing...
                10 s

                Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

                Payment Processing
                Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
                About Order Status