Loading...

Download

Boom Discoveries | Salmin Swaggz: Rapa mwenye vipaji vingi

Boom Discoveries | Salmin Swaggz: Rapa mwenye vipaji vingi

Moja ya wasanii vijana wenye talanta au kipaji kikubwa cha kurap, Salmin Swaggz hawezi kukosekana kwenye orodha.


Ni msanii ambaye anakupa maana halisi ya mtu mwenye kiu ya mafanikio kwenye sanaa ya muziki. Safari yake ya muziki imekuwa na mwendelezo chanya kadri siku zinavyozidi kusonga mbele na ndio sababu ya kuonekana kuwa mkubwa kila uchwao.


Alianza kama moja ya wasanii waliokuwa wakiunda kundi la OMG pamoja na Conboi Cannabino na Young Lunya ambapo walifanya vizuri sana kwa kuachia ngoma kadhaa kama vile 'Wanangu Na Wanao', 'Uongo Na Umbea', 'Paradiso' pamoja na 'Sitaki'.

Boom Discoveries | Salmin Swaggz: Rapa mwenye vipaji vingi

Kwa sasa OMG ni kama halipo tena na Salmin Swaggz amejikita katika kufanya project zake binafsi ambapo amefanya ngoma kadhaa kali kama vile 'Ola', 'Celebration', 'Ice', 'Days Before Christmas', 'Uno', 'Day One', 'Don't Act Like U Know Me' na albamu yake mpya 'Flight Mode'.


Mbali na muziki, Salmin Swaggz na amebobea katika masuala ya designing ambapo amekuwa akifanya kazi na makampuni mbalimbali, huku pia akimiliki kampuni yake inajihusisha na masuala ya designing ambayo inajulikana kwa jina la Saltec Solutions Tanzania.


Kwa sasa anatamba na albamu yake mpya ambayo ameipa jina la FLIGHT MODE yenye jumla ya ngoma 17.

Boom Discoveries | Salmin Swaggz: Rapa mwenye vipaji vingi

Ngoma zilizopo kwenye albamu hii ni A.M, Destiny, Whatever I Want, HRN, Unanikomoa, New School, Forgive Me, Tingisha, Oh My God!!! ComeBack, Stay On It, Understand, Don't Rush, YourGirl, Pesa, Wauwe Pamoja na Yah


Albamu hii inapatikana kwenye app ya Boomplay na unaweza kusikiliza hapo chini;

FLIGHT MODE

#BuzzBrandColumn #BoomDiscoveries #Music #SalminSwaggz

Comments (14)

0/500

    New Comments14

    benedicto bvstx

    fire [0x1f647][0x1f647][0x1f647][0x1f647][0x1f647][0x1f647][0x1f647][0x1f647]

    Tanzania

    breezyu8pqy

    hip hop

    Tanzania

    Calvin_Kyo

    ngoma ni kali mzik mzr upo kwa hii album

    Tanzania

    jumahussein8vufl

    Swaggz.

    Tanzania

    love bite og

    [0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f]

    Tanzania

    abbasgo4q5

    [0x1f636][0x1f636]

    Tanzania

    150463424

    [0x1f630][0x1f630][0x1f630][0x1f630]

    Tanzania

    mas boyw7mxr

    hi

    Tanzania

    prasco bwz80

    it good

    Tanzania

    Jafeti Rungwe

    very nice

    Tanzania

    Man_k10

    Salmin Swaggz [0x1f621]

    Tanzania

    soweto boy 255

    Hustle

    Tanzania

    +

        -   or   -

        -   or   -

        NG +234

            Please Select A Playlist

            Add New Playlist

            Share on

            Embed: Love & Light EP

            Custom Size :

            • Default
            • Desktop(300*600)
            • Mobile(300*250)

            Type :

            • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
            Get Boomplay Premium
            for
            Payment Method
            Pay With
              Review and pay
              Order Date
              Payment Method
              Due Today
              Flutterwave
                Subscription Successful

                Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

                Now you have access to all the features of Boomplay App.
                Payment Failed

                Please check your balance and then try again.

                You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
                Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
                Payment Processing...
                10 s

                Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

                Payment Processing
                Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
                About Order Status