Loading...

Download

Boom Top: Ngoma kali kumi zilizofanya vizuri zaidi Boomplay wiki iliyopita hizi hapa!

Boom Top: Ngoma kali kumi zilizofanya vizuri zaidi Boomplay wiki iliyopita hizi hapa!Leo ni Jumatatu murua, siku ambayo tunamulika ngoma ambazo zimefanya vizuri ndani ya orodha ya ngoma 100 wiki iliyopita.


Katika kuhakikisha hili linakwenda vizuri, tunakusogezea ngoma 10 ambazo zimeongoza kwenye chati wiki iliyopita.


1. Kwikwi - Zuchu

Boom Top: Ngoma kali kumi zilizofanya vizuri zaidi Boomplay wiki iliyopita hizi hapa!

Ngoma hii kutoka kwa Zuchu Kwikwi ni ya Mapenzi ambayo Zuchu anaonesha ni kwa kiasi gani anampenda mpenzi wake huku akimsihi mpenzi wake huyo asimuache kwani anaogopa kuumbuka na kupata aibu mbele za watu.

Kwikwi

2. Nakupenda - Jay Melody

Boom Top: Ngoma kali kumi zilizofanya vizuri zaidi Boomplay wiki iliyopita hizi hapa!

Ni ngoma kali kutoka kwa Jay Melody huku ikiwa ni miongoni mwa ngoma zinazochezwa sana kwa sasa kwenye majukwaa mbalimbali ya muziki. Imeendelea kubaki nafasi ya pili kama ilivyokuwa wiki iliyopita.

Nakupenda

3. Nitaubeba - Harmonize

Boom Top: Ngoma kali kumi zilizofanya vizuri zaidi Boomplay wiki iliyopita hizi hapa!

Kwa mara ya kwanza ngoma hii iliingia kwenye kumi bora zaidi ya mwezi mmoja uliopita. Ngoma hii kutoka kwa Harmonize imeendelea kukubalika kwa mashabiki wengi Tanzania na nje ya Tanzania.

Nitaubeba

4. Zuchu - Love ft Adekunle Gold

Boom Top: Ngoma kali kumi zilizofanya vizuri zaidi Boomplay wiki iliyopita hizi hapa!

Ni ngoma mpya na kali kutoka kwa Zuchu ambayo wiki hii imeshika nafasi ya nne. Ni ngoma kali ya mapenzi ambayo Zuchu amemshirikisha staa kutoka Nigeria, Adekunle Gold.

Love ft. Adekunle Gold

5. Amelowa

Boom Top: Ngoma kali kumi zilizofanya vizuri zaidi Boomplay wiki iliyopita hizi hapa!

Ngoma ambayo pia ni kutoka kwa Harmonize imeendelea kuwa miongoni mwa ngoma pendwa kwa sasa kutokana na namna alivyoimba kwa kutumia lugha ya picha kwa kiasi kikubwa.

Amelowa

6. Cough (Odo) ft. Empire - Kizz Daniel

Boom Top: Ngoma kali kumi zilizofanya vizuri zaidi Boomplay wiki iliyopita hizi hapa!

Baada ya kutamba muda mrefu na ngoma yake Buga (Lo Lo Lo), ngma nyingine ya Kizz Daniel 'Cough (Odo)' imeanza kutamba kwa kuingia kumi kumi bora ya 100 bora ndani ya app ya Boomplay.

Cough (Odo) ft. EMPIRE

7. Rush - Ayra Starr

Boom Top: Ngoma kali kumi zilizofanya vizuri zaidi Boomplay wiki iliyopita hizi hapa!

Kwa mara ya kwanza, ngoma hii iliingia kumi bora wiki mbili zilizopita. Ni ngoma kali ambayo haichoshi kusikiliza. Endelea kusikiliza hapo chini.

Rush

8. Marry Me ft. Marioo - Barbana

Boom Top: Ngoma kali kumi zilizofanya vizuri zaidi Boomplay wiki iliyopita hizi hapa!

Ni ngoma kutoka kwa Barnaba ambayo imeingia kwenye kumi bora ya chati za Boomplay takribani mwezi mmoja sasa. Ngoma hii ambayo amemshirikisha Marioo pia imetoka kwenye albamu yake 'Love Sounds Different'. Uwepo wa Marioo umeongeza utamu zaidi kwenye ngoma hii.

Marry Me ft. Marioo

9. Mchumba - Nandy

Boom Top: Ngoma kali kumi zilizofanya vizuri zaidi Boomplay wiki iliyopita hizi hapa!

Ni ngoma mpya kali kutoka kwa Nandy. Ngoma hii imependwa sana kutokana na midundo na miondoko yake. Hapa Nandy amekonga nyoyo za Watanzania wengi sana.

Mchumba

10. Leave Me Alone ft. Abigail Chams - Harmonize

Boom Top: Ngoma kali kumi zilizofanya vizuri zaidi Boomplay wiki iliyopita hizi hapa!

'Leave Me Alone' kutoka kwa Harmonize ni bonge moja la ngoma. Hakika hapa Harmonize alituliza kichwa kweli kweli na uwepo mwanadada Abigail Chams ndiyo umezidisha mvuto wa ngoma hii kwa jinsi anavyoichezesha sauti yake.

Leave Me Alone ft. Abigail Chams

Wimbo gani umekuvutia kwenye orodha hii?

#BuzzBrandColumn #BoomTop #Music #Trending

Comments (16)

0/500

    New Comments16

    yohanafo1h5

    zuchu kwikwi imetixha mno

    Tanzania

    Kulwa Masente9pvm4

    good

    Tanzania

    GEOFTZ MNYAMWEZ1

    kila ngoma imekaa kweny namba sahihi apo

    Tanzania

    phiaen0ar

    kali

    Tanzania

    140603294

    zotee kalii

    Tanzania

    Asquatic_iconic

    ✊✊

    Tanzania

    zainabu vicent

    [0x1f633][0x1f633][0x1f633][0x1f633][0x1f633]

    Tanzania

    mato treems

    hakuna ngoma fty hapa kama hakuna diamond platnumz and [0x1f602][0x1f602][0x1f602][0x1f602]

    Kenya

    Yohana George komanya

    daah zote fire

    Tanzania

    sabry _008

    zote nzur

    Tanzania

    Drau Sanare

    ngoma zote nzur

    Tanzania

    Yamsebo Kalangila

    [0x1f633]

    Tanzania

    +

        -   or   -

        -   or   -

        NG +234

            Please Select A Playlist

            Add New Playlist

            Share on

            Embed: Love & Light EP

            Custom Size :

            • Default
            • Desktop(300*600)
            • Mobile(300*250)

            Type :

            • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
            Get Boomplay Premium
            for
            Payment Method
            Pay With
              Review and pay
              Order Date
              Payment Method
              Due Today
              Flutterwave
                Subscription Successful

                Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

                Now you have access to all the features of Boomplay App.
                Payment Failed

                Please check your balance and then try again.

                You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
                Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
                Payment Processing...
                10 s

                Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

                Payment Processing
                Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
                About Order Status