Loading...

Download

Mtoto wa Davido afariki dunia

Mtoto wa Davido afariki dunia

Mtoto wa staa wa muziki nchini Nigeria, Davidi Adedeji Adeleke maarfu kama Davido Ifeanyi Adeleke mwenye umri wa miaka mitatu (3), amefariki Dunia Jumatatu hii baada ya kuzama kwenye Swimming Pool nyumbani kwao.


Vyanzo mbalimbali kutoka Nigeria vinaripoti kuwa Ifeanyi ambaye Davido amezaa na mpenzi wake Chioma Rowland maarufu Chef Chi, alizama kwenye Swimming Pool kwa muda mrefu kabla ya wazazi wake kugundua kutoweka kwa mtoto wao.


Baada ya kufanya msako mkubwa kuhakikisha wanampata mtoto huyo, walikuta Ifeanyi akielea kwenye maji.


Inaelezwa, juhudi za kumkimbiza hospitalini mtoto huyo hazikufanikiwa kuokoa maisha ya Ifeanyi ambaye tayari alikuwa ameshafariki.


#Trending #Davido

Comments (7)

0/500

    New Comments7

    Kelvin Mulokozi

    R.i.p

    Tanzania

    Stevjohnson

    R. I. P

    Tanzania

    Neema Chuwatz

    rest in peace

    Tanzania

    MTALEMWA 1tnc

    Pole

    Tanzania

    Lazaro mtisifbr5f

    polen sana

    Tanzania

    mamushkacom37

    So sad. RIP Ifeanyi

    Tanzania

    rehema Ebrown

    mmh[0x1f653][0x1f653] soo sad[0x1f616]

    Tanzania

    +

        -   or   -

        -   or   -

        NG +234

            Please Select A Playlist

            Add New Playlist

            Share on

            Embed: Love & Light EP

            Custom Size :

            • Default
            • Desktop(300*600)
            • Mobile(300*250)

            Type :

            • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
            Get Boomplay Premium
            for
            Payment Method
            Pay With
              Review and pay
              Order Date
              Payment Method
              Due Today
              Flutterwave
                Subscription Successful

                Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

                Now you have access to all the features of Boomplay App.
                Payment Failed

                Please check your balance and then try again.

                You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
                Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
                Payment Processing...
                10 s

                Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

                Payment Processing
                Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
                About Order Status