Loading...

Download

New Music | Harmonize aachia albamu mpya 'Made For Us', ngoma gani kali zaidi?

New Music | Harmonize aachia albamu mpya 'Made For Us', ngoma gani kali zaidi?

Staa wa muziki nchini Tanzania na bosi wa lebo ya Konde Music Worldwide, Harmonize ameachia albamu yake mpya ambayo ameipa jina la 'Made For Us'.


'Made For Us' ni albamu ya tatu ya Harmonize tangu aanze kufanya muziki rasmi. Albamu hii inakuja takribani mwaka mmoja kupita baada ya albamu yake ya pili 'High School' ambayo aliiachia Novemba 5, 2021.


'Made For Us' ni albamu yenye jumla ya ngoma 14, huku baadhi ya ngoma hizo zikiwa tayari zilikwishaachiwa mapema kabisa kabla ya albamu hii kuachiwa. Ngoma hizo ni 'Amelowa', 'Nitaubeba', 'Deka', 'Miss Bantu', na 'Leave Me Alone'.


Ngoma zilizopo kwenye albamu hii ni 'Mwenyewe', 'My Way', 'Leave Me Alone', 'Wote', 'Nitaubeba', 'Utanikumbuka', 'I Miss You', 'Die', 'The Way You Are', 'Miss Bantu', 'Best Friend', 'Deka', 'Too Much' na 'Amelowa'.


Wasanii walioshitikishwa ni Abigail Chams, Bruce Melodies, Nak, Ntosh Gazi, and Spice, huku watayarishaji kadhaa mahiri wakishiriki kuhakikisha albamu hii inakuwa mahiri kabisa. Watayarishaji hao ni B Boy Beats, Dj Tarico, Daxo Chali, Paul Maker, Gachi, and Sign Beats.


Mpaka sasa albamu hii imefanikiwa kufikisha zaidi ya streams 250k kwenye app ya Boomplay. Sikiliza 'Made For Us' kutoka kwa Harmonize hapo chini kupitia Boomplay.

Made For Us

#Trending #Music #Harmonize #MadeForUs

Comments (11)

0/500

    New Comments11

    Costa mjapan

    hii ni qal ya zote biggest album ever

    Tanzania

    rizzojr88

    zotee kalii apoh

    Tanzania

    dady7teen

    all is gud music,,

    Tanzania

    shangegbmxd

    my way best friend leave me alone nitaubeba deka and mwenyewe

    Tanzania

    sylvestermkama716@gmail.

    [0x1f60e][0x1f60e] good job mr

    Tanzania

    mustapha salume8izd

    ngoma zote atal

    Tanzania

    shija rajabu

    kho kho

    Tanzania

    Emmanuel Charles07xm6

    bestfriend

    Tanzania

    Yusla Elias

    Aiseee zote kali[0x1f627][0x1f627][0x1f60e][0x1f60e]

    Tanzania

    BerryNipeys

    Muzik

    Nigeria

    johnny francis

    ngoma namba 4

    Tanzania

    +

        -   or   -

        -   or   -

        NG +234

            Please Select A Playlist

            Add New Playlist

            Share on

            Embed: Love & Light EP

            Custom Size :

            • Default
            • Desktop(300*600)
            • Mobile(300*250)

            Type :

            • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
            Get Boomplay Premium
            for
            Payment Method
            Pay With
              Review and pay
              Order Date
              Payment Method
              Due Today
              Flutterwave
                Subscription Successful

                Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

                Now you have access to all the features of Boomplay App.
                Payment Failed

                Please check your balance and then try again.

                You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
                Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
                Payment Processing...
                10 s

                Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

                Payment Processing
                Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
                About Order Status