Loading...

Download

Boom Focus | Tunamzungumzia Mbosso

Boom Focus | Tunamzungumzia Mbosso

Katika Boom Focus leo tunamtaza staa wa muziki kutoka WCB Wasafi, Mbwana Yusuf Kirungi maarufu kama Mbosso.


Huyu ni miongoni mwa mastaa wakubwa sana wa muziki Tanzania na Afrika Mashariki. Mbosso alizaliwa katika Wilaya ya Kibiti, Pwani kutoka kwa baba yake Yusuf Kirungi na mama yake Hadija Salum. Mbosso alikulia na kusoma huko huko Kibiti mpaka alipohitimu kidato cha nne kuamua kuanza harakati zake za muziki.


Alinza muziki chini ya Kundi la Yamoto Band lililokuwa likiongozwa na moja ya mamenejja maarufu wa muziki nchini Tanzania, Said Fella maarufu kama Mkubwa Fella. Mbosso alikuwa na wenzake wengine ambao ni Aslay, Enock Bella na Beka Flavour baadaye kuanzisha Yamoto Band na mafanikio ya safari yake ya muziki kuanzia hapo.

Boom Focus | Tunamzungumzia Mbosso

Chini ya Yamoto Band Mbosso na wenzake walifanikiwa kushinda tuzo kadhaa pamoja na hata kuzunguka maeneo mbalimbali kwaajili ya kufanya show. Walifanikiwa kufanya ngoma kama vile 'Ntakupwelepweta', 'Basi Ninajuta', 'Nisambazie Raha', 'Cheza Kwa Madoido' na nyingine nyingi.


Mwaka 2017, Yamoto Band ilivunjika na kila mtu kusambaratika kivyake na ndipo Mbosso alipojiunga na lebo ya WCB Wasafi na kuachia wimbo wake wa kwanza kabisa 'Watakubali' mwaka 2018. Baada ya hapo aliachia 'back to back' ngoma nyingine kama vile 'Nimekuzoea', 'Alele', 'Shida', 'Picha Yake', 'Nadekezwa', 'Nipepee', 'Tamu', 'Maajab' na nyingine nyingi.


Mpaka sasa Mbosso amefanikiwa kuachia albamu moja ambayo ni 'Definition Of Love' yenye ngoma 14 kali.

Boom Focus | Tunamzungumzia Mbosso

Mbosso ni miongoni mwa wasanii wenye streams nyingi Boomplay akiwa na zaidi ya streams milioni 102.2 mpaka sasa, huku akiwa ameachia EP yake ya kwanza kabisa ambayo ameipa jina la 'Khan EP'.


Ngoma gani unaikubali zaidi kutoka kwa Mbosso? Weka comment yako hapo chini.

Moyo ft. Costa Titch & Phantom Steeze

#BuzzBrandColumn #BoomFocus #Mbosso

Comments (128)

0/500

    New Comments128

    Yusco Pãīvo

    Hodali

    Tanzania

    Steve the prince

    mnyama sana

    Tanzania

    Ngilenengo shirimangilen

    m naipenda moyo

    Tanzania

    Young Teflon P1 9th

    takataka kama uchafu phrrrrr....!!! [0x1f602][0x1f602][0x1f602][0x1f602][0x1f602]

    Tanzania

    Ally Dushu

    Mbosso khani hauna baya wewe ni hatari

    Tanzania

    B BOYfwq03

    Mbosso kaka tuliya na amini harmonize ana weza kuja kuwa chawa wako badaye

    Tanzania

    johaness cimyu

    huyu hapa

    Tanzania

    johaness cimyu

    zeto ni kali kwangu yaahn

    Tanzania

    Memphiso7tja

    N

    Tanzania

    Gracelaxru

    much love to u khan

    Tanzania

    kissaaq1l2

    zot zinagusa moyo wang

    Tanzania

    editarr6pb

    huyu hapa

    Tanzania

    +

        -   or   -

        -   or   -

        NG +234

            Please Select A Playlist

            Add New Playlist

            Share on

            Embed: Love & Light EP

            Custom Size :

            • Default
            • Desktop(300*600)
            • Mobile(300*250)

            Type :

            • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
            Get Boomplay Premium
            for
            Payment Method
            Pay With
              Review and pay
              Order Date
              Payment Method
              Due Today
              Flutterwave
                Subscription Successful

                Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

                Now you have access to all the features of Boomplay App.
                Payment Failed

                Please check your balance and then try again.

                You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
                Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
                Payment Processing...
                10 s

                Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

                Payment Processing
                Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
                About Order Status