Loading...

Download

Boom Discoveries | Mfahamu Kontawa

Boom Discoveries | Mfahamu Kontawa

Moja ya wasanii wa muziki wa rapa wanaochipukia kwa kasi kubwa nchini Tanzania, Kontawa ni miongoni mwao.


Kontawa ambaye mpaka sasa amefanikiwa kuachia ngoma 10 rasmi, amejaaliwa flow na vina vikali kwenye mistari yake, huku vikiambatana na ujumbe mzuri.


Kontawa ambaye kabla ya kuingia kwenye muziki alifanya shughuli mbalimbali ikiwemo kuuza mitumba, udalali na kadhalika amesema kuwa licha ya kuimba muziki wa rapa lakini bado ana uwezo wa kuandika mashairi ya muziki wa aina mbalimbali na kuongeza kuwa muziki ambao bado hajafanya mashairi yake ni Taarab na Reggae.

Boom Discoveries | Mfahamu Kontawa

"Mimi napenda kusikiliza wasanii na muziki wa aina mbalimbali, sina msanii ambaye ndiyo pekee huwa namfuatilia kwa sababu napenda kupata vitu vipya kutoka kwa wasanii mbalimbali kila mara kwa ufupi sina itikadi kwenye muziki wangu." Kontawa ameiambia Boombuzz wakati akijibu swali la kwamba msanii gani ambaye amekuwa akimfuatilia zaidi.


Mbali na kupenda muziki, Kontawa amesema kuwa alikuwa na ndoto za kuwa injinia, hivyo hupendelea sana kufanya masuala ya mapambo na kuongeza kuwa huwa hajisikii vizuri anapokutana na mazingira ambayo sio nadhifu.

Boom Discoveries | Mfahamu Kontawa

Kuhusu kusainiwa na lebo yoyote ikitokea wanamhitaji, Kontawa amesema kuwa ni suala la makubaliano na ikitokea makubaliano yana faida kwenye pande zote, basi hatakuwa na tatizo lolote.


Kwa sasa Kontawa anatamba na ngoma yake mpya inayojulikana kwa jina la 'Champion' na inapatokana kwenye app ya Boomplay, sikiliza hapo chini;

Champion ft. Nay Wa Mitego

#BuzzBrandColumn #BoomDiscoveries #Music #Kontawa

Comments (1)

0/500

    New Comments1

    paloko66lyk

    nice songs

    Tanzania

    +

        -   or   -

        -   or   -

        NG +234

            Please Select A Playlist

            Add New Playlist

            Share on

            Embed: Love & Light EP

            Custom Size :

            • Default
            • Desktop(300*600)
            • Mobile(300*250)

            Type :

            • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
            Get Boomplay Premium
            for
            Payment Method
            Pay With
              Review and pay
              Order Date
              Payment Method
              Due Today
              Flutterwave
                Subscription Successful

                Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

                Now you have access to all the features of Boomplay App.
                Payment Failed

                Please check your balance and then try again.

                You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
                Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
                Payment Processing...
                10 s

                Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

                Payment Processing
                Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
                About Order Status