Chris Brown aachia tracklist ya albamu yake mpya 'Breezy'
Staa wa muziki kutoka Marekani, Chris Brown ameachia orodha ya nyimbo zilizopo kwenye albamu yake mpya ‘Breezy’.
Kupitia ukurasa wake waInstagram amethibitisha hilo kwa kuianika hadharani idadi ya ngoma hizo ambazoni 23.
Breezy inatarajiwakuingia sokoni rasmi Juni 23, 2022.
Comments (7)
New Comments(7)
Reonard ime
julius lock
nice Mr chris brown
anodifk03q
jamaaa anatixha xana
anodifk03q
[0x1f601][0x1f602][0x1f604][0x1f604][0x1f604][0x1f604][0x1f604][0x1f604]
anodifk03q
wao ngoja tuione
peter shayobz15m
Goodnewz
NAFTALI TWINZI KIMODA
hongera kwake acha tuisubiri tu pate uhondo
Namukubali