Loading...

Download

Nani kuibuka mshindi Miss UDOM 2022? Piga kura yako hapa

Nani kuibuka mshindi Miss UDOM 2022? Piga kura yako hapa

Chuo Kikuu cha Dodoma kwa kushirikiana na Boomplay wameandaa shindano kabambe la kutafuta Mlimbwende wa Chuo Kikuu cha Dodoma (Miss UDOM) litakalofanyika kwenye ukumbi wa Royal Village Juni 6, 2022 mkoani Dodoma.


Katika shindano hilo linaloshirikisha walimbwende (ma-Miss) 18, mshindi wa kwanza atazawadiwa kiwanja chenye ukubwa wa mita za mraba (square metre 600) zilizopimwa, huku zawadi ya mshindi wa pili na wa tatu ikitangazwa hapo baadaye.


Tumekuwekea orodha ya washindi 18 kwaajili ya kuwapigia kura, mshiriki atakayepata kura nyingi zaidi ataibuka mshindi. Kuona orodha ya washiriki wote unaweza kubofya link hapo chini Login • Instagram

#BoomplayMissUDOM2022

Comments (1,750)

0/500

    Top Comments (39)

    140301727

    Ester francis no. 8>

    Tanzania

    Lois Siara

    esther Francis [0x1f641]>

    Tanzania

    Tinaaaybe3l

    no 16 miss budeba she deserves>

    Tanzania

    New Comments1,750

    Dj Ash-Baby

    https://www.boomplaymusic.com/share/music/112529332,srModel=COPYLINK&srList=ANDROID

    Tanzania

    Honore Abelqhcu6

    hakuna aliye kuwamiss

    Tanzania

    Sazum Said

    hello

    Tanzania

    joetheking

    hello

    Tanzania

    Fedney Cogd20kc

    Don't miss this vibe GHANA /UK /NIGERIA /AMERICA ${href0}

    Ghana

    vokoh masila

    great [0x1f618][0x1f641]

    Kenya

    gainaupdlq

    kula yangu

    Tanzania

    jebo laogkfwt

    letenn @jebolao

    Image | Boomplay Music
    Tanzania

    jebo laogkfwt

    @jebolao

    Tanzania

    FLSA

    https://www.boomplaymusic.com/share/music/93421019,srModel=COPYLINK&srList=ANDROID

    Tanzania

    Deleted User

    This comment has been deleted.

    Others

    +

        -   or   -

        -   or   -

        NG +234

            Please Select A Playlist

            Add New Playlist

            Share on

            Embed: Love & Light EP

            Custom Size :

            • Default
            • Desktop(300*600)
            • Mobile(300*250)

            Type :

            • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
            Get Boomplay Premium
            for
            Payment Method
            Pay With
              Review and pay
              Order Date
              Payment Method
              Due Today
              Flutterwave
                Subscription Successful

                Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

                Now you have access to all the features of Boomplay App.
                Payment Failed

                Please check your balance and then try again.

                You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
                Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
                Payment Processing...
                10 s

                Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

                Payment Processing
                Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
                About Order Status