Loading...

Download

Jux aachia ngomam mpya 'Simuachi', umeipokeaje baada ya kusikiliza?

Jux aachia ngomam mpya 'Simuachi', umeipokeaje baada ya kusikiliza?

Mfalme wa muziki wa RnB Afrika Mashariki, Jux amerejea, namara hii amekuja na ngoma kali ambayo ameipa jina la ‘Simuachi’


Jux ambaye jina lake halisi ni Juma Musa Mkambala ameachiawimbo huu ikiwa imepita miezi miwili tangu alivyoachia kolabo yake na msaniikutoka Ghana Gyakie. Wimbo huo ulikuwa wa kwanza kwa Jux kumshirikisha msaniikutoka Ghana.

Jux aachia ngomam mpya 'Simuachi', umeipokeaje baada ya kusikiliza?

Katika ngoma hii ya ‘Simuachi’, Jux anatumia maneno matamuna kimahaba kuzidi kunogesha mapenzi yake kwa mpenzi wake. Jux anaapa kudumumilele na mpenzi wake huyo, huku akiahidi kumpa heshima yote anayostahili.


‘Simuachi’ ambao ni wimbo wa pili kutoka kwa Jux kwa mwakahuu umetayarishwa na mtayarishaji anayejulikana kwa jina la Foxx Made, ambayepia anasifika kwa kutayarisha ngoma kadhaa zilizotamba kama vile ‘I Love You’ya Jux feat Gyakie na Sokomoko ya Abdu Kiba feat Maua Sama.

Simuachi

#NewMusic #Jux #Simuachi #Music #Trending

Comments (15)

0/500

    New Comments15

    0627710862

    ni ngoma kkali saaaaaaanaaaaa

    Tanzania

    FLSA

    Tuisikilize Kwaya https://www.boomplaymusic.com/share/music/93421019,srModel=COPYLINK&srList=ANDROID

    Tanzania

    Abdu Malik Mmassy

    nice

    Tanzania

    FLSA

    Kwaya Sasa https://www.boomplaymusic.com/share/music/87169904,srModel=COPYLINK&srList=ANDROID

    Tanzania

    137650375

    unaniweza

    Tanzania

    137650375

    jux

    Tanzania

    137650375

    [0x1f627][0x1f628][0x1f621][0x1f613]

    Tanzania

    137650375

    woooh

    Gif | Boomplay Music
    Tanzania

    Adeniyi Funmilola Esther

    great

    Nigeria

    Ally Ravino

    kiboko

    Kenya

    +

        -   or   -

        -   or   -

        NG +234

            Please Select A Playlist

            Add New Playlist

            Share on

            Embed: Love & Light EP

            Custom Size :

            • Default
            • Desktop(300*600)
            • Mobile(300*250)

            Type :

            • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
            Get Boomplay Premium
            for
            Payment Method
            Pay With
              Review and pay
              Order Date
              Payment Method
              Due Today
              Flutterwave
                Subscription Successful

                Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

                Now you have access to all the features of Boomplay App.
                Payment Failed

                Please check your balance and then try again.

                You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
                Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
                Payment Processing...
                10 s

                Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

                Payment Processing
                Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
                About Order Status